Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

naggy

Member
Apr 27, 2011
97
152
Nathubutu kusema mh. Mnyika kuwa ni jembe, bingwa wa kufikiri. Naamini wote mtakubariana nami. Nasema hili kutokana na uwezo wake bungeni wa kujenga hoja na kukubarika na wabunge wote bila kujari itikadi. Kamanda Mnyika amekuwa bingwa wa kuweka marekebisho katika sheria zinazotungwa. Hata katika bunge la leo jioni linalojaribu kupisha sheria ya usajiri wa makampuni. Amekuwa akifanya hivyo katika sheria nyingi sana.

My take: wabunge wote wakiwa serious kama Mnyika, hakika bunge litakuwa linapitisha sheria nzuri sana. Big up kamanda Mnyika, I salute you.
 
Asante kwa kumpatia kamanda sifa stahili. Ziweke basi hizo nondo zake hapa ili nasi tuone na kudadavua.
 
Nafatilia mjadala wa BRELA Bungeni sasa hivi, kwa nini wabunge wa CCM wako kimya zaidi ya kusema NDIYOOO! Maana wanaompeleka AG kwenye makosa ya muswada ni wapinzani.Jee wale wa CCM wanawakilisha watu gani? Au hawajui wako pale kwa shughuli gani?
 
Nathubutu kusema mh. Mnyika kuwa ni jembe, bingwa wa kufikiri. Naamini wote mtakubariana nami. Nasema hili kutokana na uwezo wake bungeni wa kujenga hoja na kukubarika na wabunge wote bila kujari itikadi. Kamanda Mnyika amekuwa bingwa wa kuweka marekebisho katika sheria zinazotungwa. Hata katika bunge la leo jioni linalojaribu kupisha sheria ya usajiri wa makampuni. Amekuwa akifanya hivyo katika sheria nyingi sana.

My take: wabunge wote wakiwa serious kama Mnyika, hakika bunge litakuwa linapitisha sheria nzuri sana. Big up kamanda Mnyika, I salute you.

Naunga mkono hoja, kwa jinsi inavyoonekana wabunge wa magamba wangekuwa pekeyao hiyo sheria ingepita kwa kila mahali kuitikia NDIYOOOOOOOOOOOOOOO, bila hata kujua ni kitu gani kinapitishwa. Big up Mnyika, kwa hali hiyo hakuana kitu kupita chini ya carpet kama walivyokuwa wamezoea. Naona hata AG anakubaliana na Mnyika.
 
Nathubutu kusema mh. Mnyika kuwa ni jembe, bingwa wa kufikiri. Naamini wote mtakubariana nami. Nasema hili kutokana na uwezo wake bungeni wa kujenga hoja na kukubarika na wabunge wote bila kujari itikadi. Kamanda Mnyika amekuwa bingwa wa kuweka marekebisho katika sheria zinazotungwa. Hata katika bunge la leo jioni linalojaribu kupisha sheria ya usajiri wa makampuni. Amekuwa akifanya hivyo katika sheria nyingi sana.

My take: wabunge wote wakiwa serious kama Mnyika, hakika bunge litakuwa linapitisha sheria nzuri sana. Big up kamanda Mnyika, I salute you.
Tunalo jukumu la kuweka wasimamizi wa sheria nzuri pia, siyo hawa wacheza makirikiri, vinginevyo zitaishia kuandikwa vitabuni.
 
Kweli kabisa namuona hapa Mh.Mnyika amejitahidi sana kufanya marekebisho kwa maslahi ya wafanyabiashara wa Tz.Inaonekana kapitia sheria moja baada ya nyingine na kutafakari...then akatoa mapendekezo yanayoendana na hali halisi na mazingira ya Kitanzania ili sheria isiwe mzigo bali isaidie wafanya biashara kufanya kazi zao kwa tija kwa Taifa!
 
Nafuatilia mjadala wa Wabunge, Aidha ni Umri wake, au kuwa kwake fresh kichwani bila kuathiriwa na sumu za siasa, lakini bila ushabiki, anaongoza mjadala na changamoto nzuri sana na zenye hoja na anonekana kuwa ndiye aliyesoma vizuri sana muswada huu yeye na Mwana shria Mkuu wanaelewana Lugha ukilinganisha na wengine... nimeipenda, hongereni CHADEMA kwa hili hamkukosea
 
I'm waiting for the Featuring between Mnyika and Zitto ha ha ha Magamba wataumiaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wabunge wa CCM wengi wababaishaji Hata Hoja Muhimu kama Hii hawaungi mkono,Ila na wasiwasi wengi wao hawajui kilicho wapeleka Mjengoni zaidi ya Maslai yao Binafsi,Pongezi kwa jembe Mnyika.....piga kazi huko mbele tutakupatia Nchi hii uiongoze.
 
Naona hapa anavyomuweka sawa gamba Werema.
Kijana yuko fit...
 
Sasa hivi yuko anamkimbiza AG na sub standard na counterfeit goods. AG anachemka kweli wakuu.
AG na Mwenyekiti Mama Mhagama wametumia wingi wa CCM kupitisha hiyo hoja.
Dah naomba huyu dogo wasimpore ubunge wake ili tuendelee kufaidi nondo za huyu Mnyika
 
Natamani sheria inayopitishwa ipewe jina aka Mnyika. Katoa mchango mkubwa sana. Angalieni tbc, siwezi kuost hoja zake nzito. Mwanasheria mwenyewe kamkubari.
 
Back
Top Bottom