Mnyika Akalia Kuti Kavu

Nasikia jpatel na manji walisha kuwa wafanyakazi bora wa BOT kwa kukwapua mihela ya EPA lakini mwaka walioanza kazi haujulikani
 

nadhani ungeanza kwanza na afya ya babaako (unamjua) mnyika yuko fit bana, kwani ulishasikia kaanguka? si tuna-discuss issues hapa sio watu wala afya zao.
 


kamdanganye babu yako.
 



:spy: Mnyika usiongope MWIZI NI MWIZI TUU. Sisi WATANZANIA na tena WANA M4C tunahakika kwa hile tunavyo sema. Watakata hawa MAJAMBAZI CCM NA MAMAFIOZO wao lakini ukweli itabaki vile vile. Tunasema WATANZANIA kua awatishi wala awatamfanyia chochote ukweli itabaki kwa ukweli. CCM kwa lini wanawatetea UJAMBAZI hivyo ??? TUNASEMA WATANZANIA tutawachomea kwenye manyumba zao kama tutaendelea kwa MASIKINI.
 
Mkuu uko sahihi kabisa. Sioni haja ya kutokwa na mapovu kwa kuongea kitu anchokijua JJ Mnyika tu. Lakini kwa utaratibu wa Bunge letu la wehu sina hakika kama ushahidi wake utawekwa tu. Kumbuka enzi zile za Lema na Pinda, Zitto na cabinet.
Wana jamvi tusubiri hizo cku saba alizopewa, na Bunge nalo litoe hadharani ushahidi utaotolewa na Mh Mnyika, n then tupate ya kuyajadili hapa...!
 
sitaki kuamini kua hapa ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia......wakati wa kesi yake ya uchaguzi aliyoshinda ushahidi alitolea humu jamvini au ww ndo ulimpatia ushahidi? Shame on u!!!
 
duh! ndiyo tatizo la kuwapa wakimbizi uraia. Huyu mwana sijui kanywa viloba vingapi maana hata lugha yenyewe gongana!! hawa ni wale ambao kwao walizowea vita,, sasa hapa akiona kichaka tu...mavy yashambana. Rudi kwenu kwenye vita wee chundu
 
Ushahidi! Ooh ushahidi! Ya kwamba nchi hii ni shamba la bibi unahitajika ndani ya jua la saa sita za mchana.
Mwe! Hata na mimi nashindwa kuelewa kwa nini watz ni maskini tena wa mawazo!
Hivi wenye vijisenti huko ughaibuni wamo walima kahawa; pamba; tumbaku; mchele; mahindi; mtama; karanga; au wavua samaki wangapi?
Anyway nchi hii ni ya matukio na hili litapita; kama la aliyedanganya bunge. Sijui ushahidi ulipotea au haukufaa?
 
we mzee mbona hauko critical? Ili tujifunze kwako! Zaidi umenukuu habari tofauti! Me naona kwa sababu we ni mzee ni bora ukapata muda mrefu wa kupumzika!

Tupe ushahidi kuwa yaliyo semwa kuhusu ndugu yako msangi ni uongo.
 

Hivi Mnyika unamjua au unamsikia? Lile ni jembe la kweli huwa anaongea na kusema kwa kufikiri na kila neno analolitoa huwa lina ukamilifu kwa kufanyia nukuu kitaaluma! Alichokitamka ni sahihi na ni ukweli! Kiti kitatumia ubabe lakini ukweli utabakia pale pale! Mch Mtikila alishatamka kuwa mwili wa Baba wa Taifa Mzoga na kuwa serikali imetumia mamilioni ya wavujajasho kuuzika, je alikalia kuti kavu?, Mrema alishasema hadharani kuwa Mkapa ni mwizi na fisadi kwa kushiriki ufisadi wa Bilioni mia tisa je alikalia kuti kavu,
 
Usisafirie nyota ya wenzio.. subiri uone kilichomfanya mwewe akurupuke asubuhi
 
Ukishaona gwandaz wanarusha matusi basi ujue wamefika mwisho wa kufikiri. Kama mambo madogo hivi yana wapandisha presha,kweli mnafikiri mtakuja kushika Tanzania?
 
Mkuu huu udaktari uliusomea wapi?? Hebu tuwekee hayo makabrasha yako hapa basi. Au kama pia ni majibu ya tunguli pia tuhabarishe maana hiyo ni rahisi twaweza na sisi kupiga zetu ramli yakhe!
 
Nadhani ni vizuri kuwa macho sana na wanaoleta hizi mada za namna hii hapa JF. Wanakuja kufanya utafiti kama kuna wanaojua au watakaokurupuka na kuanza kuweka data hapa kuhusu mambo yaliyotamkwa Bungeni.Wengine wakija humu wanakuja kutaka kufahamu kama Chadema inahusika na jambo fulani lililotajwa bungeni. Achana na huu uchwara. Aliye na data za kitu kama hiki ni bora kumpelekea Mnyika ajazie. Usiwawekee hapa JF.
 
Mkuu huu udaktari uliusomea wapi?? Hebu tuwekee hayo makabrasha yako hapa basi. Au kama pia ni majibu ya tunguli pia tuhabarishe maana hiyo ni rahisi twaweza na sisi kupiga zetu ramli yakhe!

Kama unaijuwa shule ya ma Psychic duniani basi ndio hiyo niliyosoma mimi.
 
Inawezekana Mnyika ana ushahidi wa tuhuma hizo dhidi ya Nchemba. Nimesikia Nchemba anajitetea kuwa mwaka 2006 hakuwa mwajiriwa wa BOT. Waliohusika ktk wizi wa EPA hawakuwa waajiriwa wa BOT pekee, wengine walikuwa watu wasio waajiriwa wa BOT Mfano Manji
 

...Na wanafunzi wa chuo kikuu eeeh? mtajibeba kwa uropokaji na uzandiki mwaka huu. Mmeshikwa pabaya na Nchemba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…