Mnyika Akalia Kuti Kavu

Mnyika Akalia Kuti Kavu

Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia

Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA

Vipi ikiwa aliajiriwa hiyo 2006 kwenda kuvuruga ushahidi? Huko sio kuhusika na wizi?
 
Comments za baadhi ya watu kwenye jukwaa hili zinajenga mashaka kuhusu capacity ya faculties zenu!! msifyatuke hovyo hovyo kama gobori lisilo na mwenyewe! JJm kapewa siku saba kuthibitisha tuhuma zake; hazijafika tayari umeshamuhukumu kashindwa; anakurupuka lol!! kwa nini msisubiri siku saba zipite mjue hatua ifuatayo?! kwani Godbless Lema alipowasilisha ushahidi kwa spika nini kilitokea; mpaka leo kimya, hivi mtasema nini ikiwa JJM atawasilisha vielelezo na spika akaingia mitini kama kwenye sakata la GJLema! ushauri wa bure: please engage your brain before opening your mouth to speak.
 
Pambaf afya yake wewe ni daktari dhaifu mkubwa wewe unataka avimbiane Kama wabunge wa ccm ndio useme Ana afya nzuri mdini mkubwa wewe

Wacha kurukia daladala kwa mbele, soma post za kabla ya hiyo, utajuwa kwa afya yake namaanisha nini.
 
Saizi Myinka kila akiunganisha ushahidi wake wa kuupeleke bungeni kama uthibitisho unakataa kichwa kinauma...
 
Mnyika nilikushauri tulizana usipende kuropoka hovyo angalia sasa umeingia kichwa kichwa kwenye anga za Mwigulu Nchemba.

Umemtaja kuwa ni mmoja wa watuhumiwa wa EPA, wakati wizi huo umetokea mwaka 2005, wakati Nchemba ameingia BOT mwaka 2006 wakati wizi huo ukitokea alikuwa chuoni.

Haya lete huo uthibitisho wa madai yako.

Mbona mnakimbilia kuhukumu kabla siku saba hazijafika? Tusubiri alete ndo tumpongeze au tum-critisize Mnyika.
 
kweli dogo kapoteza mwelekeo. Tangu wakati wa kesi ya ubunge alipokuwa akiulizwa swali anajibu tofauti akili yake haijakaa sawa. Hebu msaidieni mliokaribu naye. Anaropoka sana na ubishi mwingi km mtoto
 
Vipi ikiwa aliajiriwa hiyo 2006 kwenda kuvuruga ushahidi? Huko sio kuhusika na wizi?
hatuko hapa kukisia kisia vitu. tuko kwenye uhalisia. ikiwa kila mtu ataweka neno "vipi" itakuwaje humu? Nami naweza kusema Vipi kama Mnyika akikosa ushahidi...........
 
kweli dogo kapoteza mwelekeo. Tangu wakati wa kesi ya ubunge alipokuwa akiulizwa swali anajibu tofauti akili yake haijakaa sawa. Hebu msaidieni mliokaribu naye. Anaropoka sana na ubishi mwingi km mtoto

Hilo ni kweli,, kachanganyikiwa
 
Saizi Myinka kila akiunganisha ushahidi wake wa kuupeleke bungeni kama uthibitisho unakataa kichwa kinauma...

Hivi Ule Ushahidi aliopeleka Lema Uliishia wapi?
 
Acha kuchemka wewe,, asseme nini sasa wakati yalishasemwa na wakuu walio juu yake na hata magazetini na vyombo vingine vya habari yalikuwepo. Sasa wewe unataka Nchemba aseme kama nani? acha uvivu wa kufikiri wewe!!

Wewe ndo umefikiri sana hadi mwisho wa akili yako hapa!! Jitahidi kutawaliwa na hekima katika hoja!! Usilete matusi JF tafadhari!!
 
hatuko hapa kukisia kisia vitu. tuko kwenye uhalisia. ikiwa kila mtu ataweka neno "vipi" itakuwaje humu? Nami naweza kusema Vipi kama Mnyika akikosa ushahidi...........

Nimesema hivyo kwa kuwa hakuna mwenye hakika kama Mnyika kasema uongo au la.......angalia wengine wengi tu wametumia neno VIPI pia....na kwa kukusaidia hebuangalia hawa waweka hazina wa CCM waliopita na uwapime na hiyo EPA na utueleze mawazo yako:

  1. Salome Mbatia (RIP)
  2. Rostam Aziz (AWOL)
  3. Amos Makala (RELIEVED)
  4. Mwigullu Nchemba (INCUMBENT)
 
Mnyika nilikushauri tulizana usipende kuropoka hovyo angalia sasa umeingia kichwa kichwa kwenye anga za Mwigulu Nchemba.

Umemtaja kuwa ni mmoja wa watuhumiwa wa EPA, wakati wizi huo umetokea mwaka 2005, wakati Nchemba ameingia BOT mwaka 2006 wakati wizi huo ukitokea alikuwa chuoni.

Haya lete huo uthibitisho wa madai yako.
Akuletee wewe nani by the way. Subirini siku 7 ziishe. Mbona Magamba mna wasiwasi kama mnaoga nje?
 
mnyika hawezi kalia kuti unalofikiri nyie chukuen chenu mapema! cdm 2po makini na tuna data subirini tuwaumbue! cku 7 ni nyingi xana!
 
Mwiba
Mnashangaza kweli.Kwani udhaifu wa Rais ulitakiwa kuwa Siri? si heri yeye aliyethubutu kusema mfalme uko uchi kuliko kumsifia kwamba anapendeza kwa suti mpya?

Unafiki wa wetu ndiyo mtaji wao.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom