Mnyama wa taifa la Bongo

Mnyama wa taifa la Bongo

Uvutaji wa shisha na kuoa hovyo ni hatari zaidi kiafya. Huyu mfalme analiwa sana duniani na ni kipenzi cha watu wanaojuwa kula vizuri.
 
Hio mboga mnajitahdi sana tena sana kuichafua sasa watumiaji tumeweka pamba masikioni tutatumia tu mana hakuna namna
kumbe huyu 'mdudu'anapendwa na wengi.....!naona mkuu mzizi uko one man army,
 
[QUOTE="devcon, post:
Halafu mnyama huyu ndo mnyama mbaya kuliko wanyama wote duniani kuanzia sura,maumbile hadi jina,eti anaitwa "NGURUWE" [/QUOTE]

Weak point mkuu! Sura? Maumbile? Jina? Kwani wanamuwowa?? Ila kama ni shape mdudu pia si haba, kajaaliwa!!
 
Nipe kifungu chochote kwenye Qur'an kinachoruhusu kula nguruwe km ilivo kwa n'gombe,mbuzi na wanyama wengine.

Wewe unaebisha lete kifungu kilichosema "usile nguruwe". Full stop kwenye Quran....ukinionyesha ntaenda kukusaidia kujilipua Mogadishu!
 
Anashambuliwa sana NA funza kwa sababu ana nyama tamu na laini sana!.

#Ana nyama tamu sana inayozuia sumu (anti- poison system)
#Utamu wake ni matokeo ya mfumo kuchambua na kuchagua viini lishe kwa haraka.
 
Wewe unaebisha lete kifungu kilichosema "usile nguruwe". Full stop kwenye Quran....ukinionyesha ntaenda kukusaidia kujilipua Mogadishu!
Kweli we popoma unadhani Qur'an ni gazeti la udaku?huna ushahidi unaleta habari za Mogadishu hapa au ndo mnavofundishwa huko?
Sasa chukua vifungu hv kasome;Qur'an (2:173)
Bibilia;Walawi(11:7-8),Isaya(66:17) ukishaelewa utanambia lini unataka twende Mogadishu sasa
 
Na hivi mfungo unakaribia, demand itashuka ghafla!
 
Kweli we popoma unadhani Qur'an ni gazeti la udaku?huna ushahidi unaleta habari za Mogadishu hapa au ndo mnavofundishwa huko?
Sasa chukua vifungu hv kasome;Qur'an (2:173)
Bibilia;Walawi(11:7-8),Isaya(66:17) ukishaelewa utanambia lini unataka twende Mogadishu sasa
Nyie kweli hamna akili pamoja na mwalimu wenu wa ugaidi!! Mnaiteteaje Quran kwa vifungu vya Biblia? ....nakuambia hakuna mahali kuruani imekataza kitimotozz! ! Kasome tena taratibu.....! Imesema ule ukiwa na dharura, sasa ndio kukataza huko ustaadhi ubwabwa!!?
 
Nadhani unakaribia kuelewa ss,Qur'an haiwezi kutetewa na Bibilia,nimekupa ushahidi ndani ya Qur'an inayokataza kula nguruwe na ni haramu pia nikakupa nyongeza ya vifungu ndani ya bibilia yako ili ujue kua unakula nguruwe kwa uroho wako tu.
Sasa wewe unasema tunakula nguruwe kwa dharura si utoe hilo andiko sasa au ndo mogadisho?
Sikiliza we duyuthi kama hujui kitu kaa kmy km unaliwa 0713
 
We mfuasi wa mharibu dunia! Unaogopa nini kusema hicho kifungu kimesema nini?....narudia kuruani haijakataza kutafuna kitimotozz! !!
 
Acha kujitoa ufaham nyumbu we we,toka umeanza kulalamika hujatoa andiko hata moja unataka mi nikusaidie maandiko?inamana hata bibilia yako huiamini?
Ningekuona unajua km ungetoa ushahidi wa kimaandiko km nilivofanya mm ili kutetea uroho wako ila upoupo tu km ngiri maji.
Sikiliza dada yng acha kupenda offer ya huyo mdudu atakupeleka Mogadishu
 
Heheheeee!! Shehe ubwabwa unategemea kitabu cha mwezio?
 
Back
Top Bottom