MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,158
- 6,572
Yaani huyu mnyama sijui hata nyama yake ikoje, sifikiri hata kumkaribia tu.
Siku ukionja wallah unaweza maliza hata kilo tatu mwenyewe kwa jinsi ilivyo tamu..
Yaani huyu mnyama sijui hata nyama yake ikoje, sifikiri hata kumkaribia tu.
😱😱😱Pole sana mkuu.
Kuendelea kumjadili huyu kitoweo kutanifanya niache kupiga kazi zangu nikatafute ka nyama kake kwanza make mate yanienda mbio atii!!
Kufa kufaanaNa Mimi ninafurahi Watu wengi wakila huyo Mnyama nipate kuwatibia Maradhi yanayotokana na huyu Mnyama waTaifa Aka Kitomoto Aka Mbuzi wa Kikatoliki.

kama ni hivyo jiulize kwanini wewe huliwimimi ni binadamu ninakula kila kitu mpaka huyo nguruwe mwenyewe ninamla
katiza mbuga ya wanyama night kali uje kama binadamu analiwa au haliwiJe
kama ni hivyo jiulize kwanini wewe huliwi
Ukiachia maandiko ya Bibilia na Qur'an kukataza kumla huyu mnyama pia zipo sababu za kiafya nyingi sana ambazo hutakiwi kumla huyu mnyama.
Halafu mnyama huyu ndo mnyama mbaya kuliko wanyama wote duniani kuanzia sura,maumbile hadi jina,eti anaitwa "NGURUWE"![]()
![]()
![]()
![]()
hapana mkuu, unamjua kamongo???Ukiachia maandiko ya Bibilia na Qur'an kukataza kumla huyu mnyama pia zipo sababu za kiafya nyingi sana ambazo hutakiwi kumla huyu mnyama.
Halafu mnyama huyu ndo mnyama mbaya kuliko wanyama wote duniani kuanzia sura,maumbile hadi jina,eti anaitwa "NGURUWE"![]()
![]()
![]()
![]()
aisee ushkuriwe uumbaji aisee,mnyama mtamu yule hatariNamshukuru Mungu kwa kuumba mnyama mwenye ladha maridhawa kama nguruwe. Mungu ashukuriwe kwa zawadi hii mwanana ya kitimoto
...dah!,umeniharibia usingizi wangu kabisa,sijui km nitaweza kufunga macho tena,dude lina sura ya kutisha!
Sijakukataza kula huyo ndudu we kula tu kwa uroho wako,mnyama anakula hadi nyoka we unaelewa nini?jiongeze nyumbu weweAcha wivu wa kike nguruwe ataliwa tuu kama vip pita hivi......
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haMkuu Mzizi acha utani hao bacteria wanashabulia fasta kitimoto sababu ya utamu wake....we ulikuwa hujui hilo? Halafu huko uliko lazima utakuwa ushakula hii kitu kwa bahati mbaya sema hutaki kukubali...adumu mnyama wa taifa la bongo!

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haKwanza sijaona nyama yenye thamani kubwa au inayouzwa bei ghali zaidi ya kitimoto. Waswahili Wanasema sura sio roho. Ni kweli kitimoto ana sura mbaya ila ladha yake ni njema na yenye kutukuka sana. Ndio maana hata wale ambao wanakatazwa kwenye nyumba zao za ibada huwa tutakutana kwenye maeneo matukufu ya kula hiyo kitu. Na kwa ubora wa kipekee huwa wanatengewa eneo maalumu ili wasionekane na wanoko.
