Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 632
Nipe pakiti 3 za sigara kali nistue mbili, tatu fasta.uvutaji wa sigara ni hatari zaidi...
Nipe pakiti 3 za sigara kali nistue mbili, tatu fasta.uvutaji wa sigara ni hatari zaidi...
nakuletea mkuu japoNipe pakiti 3 za sigara kali nistue mbili, tatu fasta.
wee usijari, kama ni hatari kwanini inauzwa kwa wingi....nakuletea mkuu japo
uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako!
sawa hakuna matata bro nakuletea!wee usijari, kama ni hatari kwanini inauzwa kwa wingi....
Ili wewe uendelee kula etiAcha kula nguruwe wewe...
Quran haijakataza bana! Imesema ule ukiwa na dharura ! ! Njaa sio dharura ustaadhi?Ukiachia maandiko ya Bibilia na Qur'an kukataza kumla huyu mnyama pia zipo sababu za kiafya nyingi sana ambazo hutakiwi kumla huyu mnyama.
Halafu mnyama huyu ndo mnyama mbaya kuliko wanyama wote duniani kuanzia sura,maumbile hadi jina,eti anaitwa "NGURUWE"![]()
![]()
![]()
![]()
katiza mbuga ya wanyama night kali uje kama binadamu analiwa au haliwi
kwa kizungu tunamwita 'chair fire'Hahahahahahahaaaa
Kit Mot Baby. 😛😛😛😀🙂
Hahahahahahahaaaa
Kit Mot Baby. 😛😛😛😀🙂
niliwahi kufanya kazi na mzungu mmoja naomba nimnukuu.,'kama hujala kitu moto,basi usijihesabu kama umewahi kula nyama'Yaani huyu mnyama sijui hata nyama yake ikoje, sifikiri hata kumkaribia tu.
mzizi,!baba yangu amekula hii kitu tangu mwaka 1950 wakati akiwa anafanya kazi misioni kwa bruda matiasi,mbona mpaka leo yuko fiti?Na Mimi ninafurahi Watu wengi wakila huyo Mnyama nipate kuwatibia Maradhi yanayotokana na huyu Mnyama waTaifa Aka Kitomoto Aka Mbuzi wa Kikatoliki.
niliwahi kufanya kazi na mzungu mmoja naomba nimnukuu.,'kama hujala kitu moto,basi usijihesabu kama umewahi kula nyama'