Mnyama wa taifa la Bongo

Mnyama wa taifa la Bongo

Ukiachia maandiko ya Bibilia na Qur'an kukataza kumla huyu mnyama pia zipo sababu za kiafya nyingi sana ambazo hutakiwi kumla huyu mnyama.
Halafu mnyama huyu ndo mnyama mbaya kuliko wanyama wote duniani kuanzia sura,maumbile hadi jina,eti anaitwa "NGURUWE"
 
Pole sana mkuu ila hakuna namna... mdudu ataendelea kutafunwa kama kawaida nnakushauri fanya uonje walau finyango moja tu mmmmh tamu hiyooo!!!
Wewe kijana utakua ni mwanaume wa Dar tu. Yani unaanzaje kumla shetani!?
 
Mbali na kuwa ni nyama tamu pia ni bonge la biashara. Kwa wale ambao wanataka kutafuta mtaji hawa hawakuangushi. Kivipi.

Ukiwa na nguruwe 10 ambao utanunua kila m1 kwa shs 150000/= baada ya miezi 6 utakuwa nao 110. Baada ya miezi 9 tena unauza wale 100 kwa shs 250000 @1. Hapa unapiga 25m ndani ya mwaka mmoja.
 
Hivi kwa nini waliumbwa, wakawekwa karibu nasi afu tusiwale? Bora wangekua kama paka basi tujue moja
 
Wewe kijana utakua ni mwanaume wa Dar tu. Yani unaanzaje kumla shetani!?
Wewe kijana utakua ni mwanaume wa Dar tu. Yani unaanzaje kumla shetani!?
Pole sana mkuu.
Kuendelea kumjadili huyu kitoweo kutanifanya niache kupiga kazi zangu nikatafute ka nyama kake kwanza make mate yanienda mbio atii!!
 
View attachment 344251 View attachment 344252 View attachment 344253 View attachment 344254
PIG NOSE IS DANGEROUS .

Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe

Mkuu Mzizi acha utani hao bacteria wanashabulia fasta kitimoto sababu ya utamu wake....we ulikuwa hujui hilo? Halafu huko uliko lazima utakuwa ushakula hii kitu kwa bahati mbaya sema hutaki kukubali...adumu mnyama wa taifa la bongo!
 
Ukiachia maandiko ya Bibilia na Qur'an kukataza kumla huyu mnyama pia zipo sababu za kiafya nyingi sana ambazo hutakiwi kumla huyu mnyama.
Halafu mnyama huyu ndo mnyama mbaya kuliko wanyama wote duniani kuanzia sura,maumbile hadi jina,eti anaitwa "NGURUWE"

Biblia inampa mtu uhuru wa kuamua kula.Kama una imani unakula.ila usimhukumu anayekula.na anayekula asimhukumu asiyekula.Warumi 14:1-7
1 Timotheo 4:1-5
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Kwanza sijaona nyama yenye thamani kubwa au inayouzwa bei ghali zaidi ya kitimoto. Waswahili Wanasema sura sio roho. Ni kweli kitimoto ana sura mbaya ila ladha yake ni njema na yenye kutukuka sana. Ndio maana hata wale ambao wanakatazwa kwenye nyumba zao za ibada huwa tutakutana kwenye maeneo matukufu ya kula hiyo kitu. Na kwa ubora wa kipekee huwa wanatengewa eneo maalumu ili wasionekane na wanoko.
 
wale watani wetu wa jadi inawabidi wapite tu kimya kimya! hakuna namna. hii kharam!!
 
sisi hatukuli nguruwe, twakula nyama ya nguruwe tena ikiwa imekaangwa vizure, kama nyoka ana sumu zaidi ya H2Cl lakin anakuliwa, je pig, achanga ushamba bwana mdogo
 
Kitu nampendea mnyama huyo ni ulaji wake. Yaani vile vitu katika Hali ya kawaida siwezi Kula huku vikiwa Na vitamini Na madini hitajika mwilini, mnyama huyu anavila kisha anavikonveti kuwa nyama yake Na mie nafaudu vitamini, madini Na utamu kupitia nyama yake.

Wacha watu wakatazane Kula ili mnyama asiwe adimu. Allahu Akbar Mungu Mkubwa katuletea mnyama
 
Back
Top Bottom