devcon
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 359
- 384
Wewe unategemea kitabu kipi ambacho kimekuruhusu kula huo uchafuHeheheeee!! Shehe ubwabwa unategemea kitabu cha mwezio?
Wewe unategemea kitabu kipi ambacho kimekuruhusu kula huo uchafuHeheheeee!! Shehe ubwabwa unategemea kitabu cha mwezio?
Sasa kama unataka tusimtafune Mr. Pig we unataka tumfanyeje? Au unataka tumgeuze awe petty animal au tumuweke kwenye zoo na mbuga za wanyama for tourism? Cmon man, dis ain't what you want!
Karibu saba saba Tanga, ruksa kuja na barakashia