Mnyakyusa na kesi ya wizi......

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Baada ya tuhuma za wizi toka jirani yake, kesi ilifika kwa mjumbe.... mjumbe: ni kweli umeiba? Mnyakyusa: ndiyo nimeiba Mjumbe:narudia tena ya pili, kweli umeiba? Mnyakyusa: ndiyo nimeiba.....ndugu yake ikabidi amuulize kwa kilugha<ikolalosya ukuthi naloli gwiwhile?=anakuuliza ni kweli umeiba?> Mnyakyusa akajibu: keta ngokana okofuma litasi okote ngiwa?=mbona nakataa toka muda kwamba sijaiba?>> lugha gongana!!!
 
mh!nadhani una visa tu na wanyakyusa kwanza inaonyesha kama vile umesimuliwa lugha yenyewe umechemka...kwa anayejua kinyakyusa atanielewa kwamba there's nothing funny at all katika hii thread!

"akapango ka bajanga na loli"
 
mkuu siwezi kuwa na visa na wanyakyusa, wakati mi mwenyewe mnyaki japo ni born town
 
mh!nadhani una visa tu na wanyakyusa kwanza inaonyesha kama vile umesimuliwa lugha yenyewe umechemka...kwa anayejua kinyakyusa atanielewa kwamba there's nothing funny at all katika hii thread!

"akapango ka bajanga na loli"

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Back
Top Bottom