Habari wana JF,
Nina shamba jipya kabisa maeneo ya mlandizi,niko katika harakati za kusafisha,kuna miti mingi migumu,inyofaa kwa kuni na hata mbao pia kuna mipingo,natafuta mtu/watu wanaoweza nunua miti/magogo kwani inaweza faa katika sehemu mbalimbali badala ya kuichoma na pia itanisaidia katika gharama za kusafisha shamba.
asanteni.