Mnunuzi wa miti

ROKY

Senior Member
May 4, 2011
182
70
Habari wana JF,
Nina shamba jipya kabisa maeneo ya mlandizi,niko katika harakati za kusafisha,kuna miti mingi migumu,inyofaa kwa kuni na hata mbao pia kuna mipingo,natafuta mtu/watu wanaoweza nunua miti/magogo kwani inaweza faa katika sehemu mbalimbali badala ya kuichoma na pia itanisaidia katika gharama za kusafisha shamba.
asanteni.
 
Toa diameter ya miti hiyo na urefu kwa makadirio.
 
diameter kwa makadirio nch 12 na urefu si chini ya 3m
 
Kwa vipimo hivi kwa mpasua mbao hawezi kukubali,labda kama atatoa 2x2 au 2x3, lakini urefu wa mti/gogo haulipi, ningeshauri,kama unaweza kuiuza kwa mtindo wa mirunda au kongowele. Option ya mwisho ni kuchoma mkaa.

Ila kama unaweza kuitunza mipingo itakuwa bomba zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom