boda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 341
- 289
Kwahyo hapo ni ngoma iliyokithiri?
Naona maana kuna mabango mengi ya tahadhari.
Kwahyo hapo ni ngoma iliyokithiri?
Duh..ulimbukeni huu.Nachokumbuka kumewahi kua na vita kati ya waktisto na waislamu kuhusu suala na kuchinja nani achinje
Vipi upatikanaji wa maji safi huko katoro??Karibu sana katoro, mji wa kibiashara
Maji vipi yapo??Nipo Katoro,. Kuhusu hardware inalipa maaana kunakasi ya ujenzi kulingana na ongezeko la watu kusiko kawaida
Kwanini mtu asijihusishe na siasa?kwani huko hakuna wanasiasa?Karibu Katoro mimi ni mwenyeji aiseee kwetu hapa ukitaka kuishi vizuri usijihusishe na siasa vilevile maisha ni simple sana yaani nitofauti na maeneo mengi hapa Tz kwani gharama ziko chini sana karibu sana
Yanapatikana, but nadhan ndan ya miaka miwili ivi maji yatakuwa full kila sehemu
Sawa sawa mkuu, vp kuhusu kodi za fremu mjini kati zina range kwa bei gani kwa mwezi..Yanapatikana, but nadhan ndan ya miaka miwili ivi maji yatakuwa full kila sehemu
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Sawa sawa.ume na mtaji mkubwa. Kuna hardware nyingi sana katoro kati, stamico, ccm na njiapanda. Karibu
Fremu wanakodi sh ngp katikati ya mji ?Kijfupi katoro wenyeji wa pale wanaiita kariakoo ya upande wa kule
Hapo Katoro ndipo alipouwawa Alphonse Mawazo.Kwanini mtu asijihusishe na siasa?kwani huko hakuna wanasiasa?
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara, kuna kitu unaweza usikipate mwanza au geita lkn katoro kinapatikana, ni center kubwa ya kibiasharaShughuli za pale mahususi ni kama zipi
Hakuna umbali, ndio sababu unaambiwa zimeungana, ni eneo moja ila kuna sehemu ukifika unaambiwa hapa ni buseresere na huku ni katoro, wenyeji ndio wanaojua lkn kwa mgeni ni ngumu kujua utofauti wa katoro na buseresereHivi zina umbali gani kama km ngapi
Naomba unitafutie eneo katikati ya nyamigota na katoro, au nyamigota kwenyewe coz si mbali na katoroHardware ni mradi mzuri sana bro
Mimi nipo hapa katoro!
Wachimbaji wa madini wanapopata dhahabu huwekeza sana katika ujenzi..
Hutojuta kuanzisha hiyo biashara.
Maeneo kama Ccm, buseresere, stamico!
Gharama za maisha zipo kawaida sana.
N.k
Itoshe kusema ni mji unaokua kutokana na wageni wanao hamia ni wengi zaidi.
Nimji unaojengwa nawafanyabiashara kuliko watumishi( watumishi sio wengi kivile)
Karibu katoro
Wewe ukiwa wapiNaomba unitafutie eneo katikati ya nyamigota na katoro, au nyamigota kwenyewe coz si mbali na katoro
Hapana yule(JPM) ni Mtakatifu wa Mungu.Ni zaidi ya Mbuzi,yule ni Lucifer kabisa.
Vipi ushafika katoroSawa sawa.