Mnisaidie mwenzenu

Mh, sometimes humu jf ushauri unapewa kama upo kwa Sangoma.., kaazi kwer kweri..:)
 
Jamani mimi ni mume wa mtu na nina mtoto mmoja. Katika pitapita zangu mdada mmoja katokea kunizimikia ile mbaya. Nimejaribu kumkwepa lakini waapi, kila siku ananipa majaribu!Kuna siku alinialika kwake nikakataa kwenda, akamtuma mshkaji wangu atafte mbinu ya kunipeleka kwake. Mi sikujua kama mshkaji wangu alitumwa na yule demu, ila jamaa yangu alinambia kuna dadake anaumwa so twende nae (kwa usafiri wangu) ili ampeleke hospitali. Tulipofika tukaingia ndani na mshikaji akanambia nimsubiri anatoka idogo, sijakaa sawa demu yule anaenimind akatokea kavaa kihasara hasara, looh!Wanaume wenzangu jamani mnajua tulivyo hasa tuonapo baadhi ya maungo ya hawa kina Eve. Kwa kweli uzalendo ulinishinda nikajikuta naharibu na yule dada. Sikumini nilichokiona kwani yule dada alikuwa hajabanjuliwa na mtu!Yani mi ndo nlikuwa wa kwanza na kobaya zaidi sikuvaa hata buti!Niliregreat sana kile kitendo na skutaka tena kurudia kufanya na yule dada.
Baada ya kama miezi miwili yule demu ananiambia ana ujauzito wangu, na keshawambia wazazi wake kuwa mi ndo muhusika na wazazi wake wananikomalia nimuoe (ye mwislamu mi mkristo). Hapa nilipo nahisi kama nina kiwiliwili bila kichwa, nampenda sana my wife na mwanangu na sitaki hata wife ajue hiyo issue.
Whay should I do?Natamani nikimbie kabisa nisionekane hapa duniani. Tell me jamani nifanyeje?



hahahhahha pole kwa kuingizwa mjini..ila wewe ulijitakia unaeza kuiepuka tamaa kwa kutumia akili si kila kitu unafanya kwa hisia.....pia kuna bikira za mchina aisee haiwezekani mtu anajijua bikira kaitunza kwa nguvu zote etii aje abikiriwe na Mume wa mtu.. hiyo haipogo afu kingine ni wewe ulimuendekeza tangu mwanzo ulibidi uwe mkali, sio eti unamkimbia ila akikupigia simu unamchekea chekea tuuu....afu katika mashetani wasiokutakia mema huyo rafiki yako nae ni mmoja wapo......ulimfanya mdada bila kinga na anaujauzito sasa hudumia hilo tumbo....mwambie mkeo though itamuuma sana ila hiyo sababu yako haina mantiki hata kidogo.....pole sana kijana ndo dunia na ya walimwengu haya,kabiliana nayo kama ulivokua unambanjua mdada wa watu.
 
ebwana pole sana-huyo dem alikuwa amepanga tukio zima,na hiyo bikra wala si bikra kama unavyosema-hilo ni changa la macho tu,zipo za kichina mtaani nyingi tu,jaribu kukaa na mkeo umweleze kwa kilka mbinu akuelewe,maana usipofanya hivyo-kun muda utafika huyo mschina atamleta huyo mtoto atakayezaa hapo kwako,na ndipo utakaposhindwa kumueleza mkeo akuelewe
 
Utakoma akili....
Uliyafanya mwenyewe bila kulazimisha sasa kubali majukumu yanayofuatana na starehe uliyopata!
Ungekua unajali sana hisia za mkeo usingefanya ulichofanya...kilichobaki sasa ni kukubali kulea huyo mtoto mtarajiwa na mama yake.
 
I dont have the guts to tell that issue to my wife!Tangu tuoane the only thing ambacho huwa anakipinga ni mimi kuzaa nje na mtu wakati tushaoanaa, alishaniuliza before kama nilikuwa na mtoto nikakataa na ni kweli sikuwa nae. Sa ivi kweli nimwambie nina mtoto yuko tumboni au akizaliwa ndo nimwambie!I am afraid she might do something crazy!
 
Pole sana bf, ila maji yashamwagika hata ukiyazoa bado hayafai kutumika. Inabidi umlee huyo mtoto wa huyo dada pia usisahau kumwambia mkeo ukweli mapema. Ukweli utakuweka huru!

Kaa chini na mkeo umuombe msamaha kwa hilo kosa ulilolifanya na umuahidi hautorudia tena.
 
Mmmh; kwanza wewe ni mume wa mtu kwanini wajiita 'boyfriend'? Au ndio advert, au utoto. Grow up na ujinga kama huo hautakutokea tena!

Ungama kwa mkeo, ukiona ngumu mexpose kwa huu Uzi wako ataamini kuwa unajuta kiukweli!!!
 
I dont have the guts to tell that issue to my wife!Tangu tuoane the only thing ambacho huwa anakipinga ni mimi kuzaa nje na mtu wakati tushaoanaa, alishaniuliza before kama nilikuwa na mtoto nikakataa na ni kweli sikuwa nae. Sa ivi kweli nimwambie nina mtoto yuko tumboni au akizaliwa ndo nimwambie!I am afraid she might do something crazy!
Yaan wewe umelikoroga kupita maelezo, yakubidi ulinywe tu ndugu yangu. 'Tamaa mbaya' ona sasa imekuponza! Mwambie tu mkeo manake ukisubiri aambiwe na huyo mdada ndio itakuwa balaa zaidi..


Inavyoonekana huyo mdada alidhamiria kukutenga na ndio mana akajiwekelea bikra ya kichina ili hata akikwambia kuwa ni mjamzito umkubalie kirahisi!


Humpendi mkeo, kama ungempenda kweli ungehakikisha unayashinda hayo majaribu...na kwataarifa yako hakuna kitu kibaya kama kuleta mtoto wa nje ndani ya ndoa! Mbaya zaidi wife alishakutahadharisha.



Utajibebelea kaka! Source: bht.
 
Mbona Kaka unataka kutuzuga? unampenda mkeo kweli vp umvue nguo huyo arage la Mbeya? sasa madhali ushalikoroga ulinywe kama ulivyoona utamu na kujua kama alikua haja megwa mueleze Mkeo ajue kama kweli unampenda! kwanza unajua hata bikra imekaaje? umeekewa shaabu ndio ukajua Bikra umenichefua rohoo na ufisadi wako huyo angekua bikra angekufukuzia nakutafuta mpaka rafiki yako amtongezee? au Bikra ya wapi alokua nayo ebu nambie au ya macho manake nadhani anayo mawili sio chongo? muone vile hapo uso mdogo kama punje ya mchele....
 
rafiki yangu wewe ni mgeni wa mapenzi mimi nakushauri utubu kwa Mungu wako akusamhehe usirudie tena kuunganisha vikojoleo vyeniu,huo mguu wa tatu utakuponza kama kweli unampenda mke wako.
 
Wanaume wengine bwana...matatizo tupu...angalia sasa tamaa ya siku moja inaweza kuharibu familia yako na muelekeo wa maisha yako...
Sina ushauri...let end justify the means...
 
kha! watu wanavyozitafuta bi kra wazivunje wewe umetoka nduki? au ni bi kra ya kichina? ila mtaoana vipi ikiwa yeye muislamu wewe mkristo au mtaenda bomani?Nalog off
 
Pole sana bf, ila maji yashamwagika hata ukiyazoa bado hayafai kutumika. Inabidi umlee huyo mtoto wa huyo dada pia usisahau kumwambia mkeo ukweli mapema. Ukweli utakuweka huru!

Kaa chini na mkeo umuombe msamaha kwa hilo kosa ulilolifanya na umuahidi hautorudia tena.
wanawake wetu wa kichina ukimuambia issue kama hiyo na yeye atataka alipize kisasi,ndio hapo unapobambikiwa mtoto.Nalog off
 
Wewe unatuzuga tu hapa, haiingii akilini eti unaenda hadi kwa mwanamke ukijidai rafiki yako kakuingiza mkege!We ulishindwa nini kumkemea huyo dada na kuzuia hizo unazoita hisia au mshawasha?
Ningekuwa mkeo ningeku*************
 
Hahahahahah lol! Mwanameka kishavunja unyumba kwa Mussa :):)
hehehe halaf mwanameka wa mleta sredi yeye amezidisha urembo na kitumbo Dah! bahati nzuri mleta mada tayari ana mtoto nazani anaelewa umuhimu wa kupeleka ukwaju kwa mwanameka katika kipindi hiki cha kichefchef.
 
Back
Top Bottom