mie hao wengine hawajanishtua kama huyo wa kwanza kushoto,naona alipania sana...nimependa alivyo creative ila tu amezidisha kiasi lol,hivi kama huyo ndio mkeo unamuona hivyo kabla hamjatoka utakuwa na courage ya kumwambia hajapendeza au utauchuna tu,lol waume zetu wana kazi.....hapo ukimwambia hajapendeza inawezekana ikawa ugomvi mkubwa sana LOLS.