Mngemuacha Maswi TRA njue maana ya Bunnge

Mngemuacha Maswi TRA njue maana ya Bunnge

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,037
Reaction score
38,400
Kama kuna machale wamecheza hawajamaa no kumtoa huyu bwanaa

Yaani alikuwa kwenye moja ya ajenda za wabunge NA nawaambia Angelia dk kama sio kujuta.....

NA nahisi wana sususuu wazuri wakawatonya

Msifanye mistake ile tena
 
kwani nini kingefanyika?? maana naona dabali dabali tu
 
"Mataahira" tulishaaminishwa alipelekwa TRA kwa "kazi maalum" ambayo ameshaitekeleza. Hata angebaki hao wabunge tungesema wana wivu wakike tu
 
Angebaki, Zimwi la ESCROW Lingefufuka kuanzia kesho; Wameepusha hilo.
 
Back
Top Bottom