Mnene Huyu Kiboko

Mnene Huyu Kiboko

Kama mume wangu au baba mtoto sawa, ila tu kama boyfriend asahau, mimi ni feminist aisee

Kuwa na appointment na Mwanaume umpendaye afu akwambie hana nauli kuwa ni kikwazo kwake kuonana na wewe ndipo utajua utakapoipata, usiniulize utaipata vipi na usiniulize nimejuaje.

Haha haaaaaaaa....! Chezea wewe Mwanamke akipenda nini?


kaka KingY nitumie hela nikaoshe macho weekend

tutaheshimiana kama dada na kaka[emoji23][emoji23]
 
Kama mume wangu au baba mtoto sawa, ila tu kama boyfriend asahau, mimi ni feminist aisee




kaka KingY nitumie hela nikaoshe macho weekend
kwasababu umeomba jukwaani niambie ni kiasi gani pia.
macho yanauma au kwenda kuangaza macho?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom