CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 459
Umri ukienda vyoo vya kukaa ni vizuri zaidihata wataalam wanashauri vya kuchuchumaa ni vizuri zaidi
Umri ukienda vyoo vya kukaa ni vizuri zaidihata wataalam wanashauri vya kuchuchumaa ni vizuri zaidi
Unachuchumaa pale juu...kwani lalizima ukae???Sijui ni ushamba wangu au ni vipi, yaani hivi vyoo vyenye masinki ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahati mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. We unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masinki ya kukaa au vyenye masinki ya kuchuchumaa?,
Le mutuz na kitambi chake atachuchumaa vipi?
Nilikuwa sifahamu kuwa unaweza kuchuchumaa kwa juu yakeUnachuchumaa pale juu...kwani lalizima ukae???
Sory mkuu wewe niwa mkoani eee!!!any way binafsi watu tunatofautiana!!kama mimi cha kuchuchumaa sikipendi hadi nimeweka kwangu natumia hikiView attachment 429084[emoji86] [emoji86]
KuchuchumaaSijui ni ushamba wangu au ni vipi, yaani hivi vyoo vyenye masinki ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahati mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. We unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masinki ya kukaa au vyenye masinki ya kuchuchumaa?,
hahaha ni kweli asee, kwanza mm nikikaa siwi comfortable halafu gogo hata nikisukuma linatoka kwa shida sana, so pale hom vipo viwili ndani nachofanya napanda pale juu ya sink najipinda kama choo cha kuchuchumaa [emoji3] [emoji3]Choo cha kukaa ni kwa ajili ya walemavu, hasa wa viungo,
Ukikuta mtu si mlemavu wa viungo anakitumia ujue ana ulemav wa ubongo
Hivyo vya kulala unajisaidiaje bi mkubwa hela sabuni ya roho kuna wenye mahekalu yao ukionyweshwa choo utafikiri ndio sebule jamaa hajakutana na maihekalu ya maaana huyu kuna mpaka magazeti unajisomea ukimaliza yako unaflash kuna fresh air kweli hela ndio kila kituSiku hizi vipo vya kulala.
Kiswahili cha "washroom" ni.......?Kwangu hakuna vyoo kuna washrooms.
.Kiswahili cha "washroom" ni.......?
Naomba unitumie kimoja..hata kwa PMSiku hizi vipo vya kulala.
JF kuna maajabu......... mweeeh!!Choo cha kukaa ni kwa ajili ya walemavu, hasa wa viungo,
Ukikuta mtu si mlemavu wa viungo anakitumia ujue ana ulemav wa ubongo