Mnawezaje kutumia vyoo vya kukaa?

Mnawezaje kutumia vyoo vya kukaa?

Cha kukaa kwa watu wa pwan mtu anaona kama anakalia kitu kisichokaliwa na mwanaume maana shida
 
Nakipenda maana nakata gogo huku nawaza moja mbili Tatu hasa home asubuhi. Lakini pia kinafaa sana kwa wazee umri mkubwa kinawasaidia kuchuchumaa ni mtihani kwako.
 
kwakweli sijawah kukizoeaaa na wala sijawah kuwa comfortable nacho daah kwanza kinachosha,unatumiaa nguvu nyingi kupush yaaan siwezag kwanza najionaga najichafuaa mpka nilishaingiaa you tube ili nijue how to use it .....na ukiingiaa you tube ndo utajuaa watz wengi hawajui namna ya kutumiaa vyoo vya kukaliaa
unakuta mwanaume anaingiaa chooni anakojoaa akiwa amesimma while haitakiwi vile vile kwenye vyoo vya kukaliaa unatakiwa uweke kitu kama kigoda chini ili uwekee miguu so that mzigo uweze kushuka inavyotakiwa ilaa sisi ndo htujui yaan basi tu ingekuwa amri yangu nisingekuwa natumia
 
Choo cha kukaa ni kizuri ila kikiwa ni cha public sio salama kutumia tena nakumbuka chuoni Ndo vilikuwepo tunapanda kwa juu unachuchumaa maana kila mtu anakaa hapo hapo maji yanakurukia yaan tatami tu
 
hata ukichuchumaa unakuwa haujarelax yaan unahis kudondoka dondoka tu
 
hata ukichuchumaa unakuwa haujarelax yaan unahis kudondoka dondoka tu
Kuna mwenzetu alidondoka akaumia mguu vibaya sana inatakiwa uwe makini maana vinateleza ikabidi tukienda class unamaliza haja zako huko ukirud hostel ni kuoga tu ilikuwa changamoto kwa kweli.

Vyoo vya kukaa hapana labda kama unatumia mwenyewe tu au mume na mke tu ndo usalama utakuwepo Kidogo.
 
Hapa naona tatizo ni ushamba na umasikini. Ukiwa masikini unazoea shida nakuona ndiyo kawaida kumbe maisha yanaweza kuwa mazuri na rahisi zaidi ya ulivyo zoea.

Ila ni ukweli kwamba kwenye vyoo vya kukaa ni rahisi kushika magonjwa hasa kwa wanawake.
 
Weka picha wengine bado washamba sisi!!
funny-kids-sleeping-anywhere-96-57a9dc524234c__605.jpg
 
sijui ni ushamba wangu au ni vipi yaan hivi vyoo vyenye masink ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahat mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. we unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masink ya kukaa au vyenye masink ya kuchuchumaa?,
hii habari ungeiongezea nyama kwa kuweka picha mbili tatu ili iwe rahisi kuichangia mkuu!
 
sijui ni ushamba wangu au ni vipi yaan hivi vyoo vyenye masink ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahat mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. we unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masink ya kukaa au vyenye masink ya kuchuchumaa?,
Hata mimi sielewi unnawezaje kuchuchumaa na kukata gogo comfortably!
 
Back
Top Bottom