Mnawezaje kutumia vyoo vya kukaa?

Mnawezaje kutumia vyoo vya kukaa?

sijui ni ushamba wangu au ni vipi yaan hivi vyoo vyenye masink ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahat mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. we unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masink ya kukaa au vyenye masink ya kuchuchumaa?,

Dunia ya sasa choo cha kukaa ndio murua.Sabbabu waweza endelea na kazi huku ukijisaidia.Ona huyu wakili akipitia makabrasha yake chap chap kwa mara ya mwisho kabla ya kuingia kizimbani kutetea mteja wake

16621352-Young-businessman-reading-a-magazine-on-the-toilet-Stock-Photo.jpg
 
toka nipate gono kwenye choo cha kukaa nimekoma.kikitokea bahati mby nakipanda kwa juu
 
Sijawah kukalia hivi vyoo aisee!!

niliishi pale udsm hall 2 halafu wameweka vyoo vya kukaa, halaf maji yenyewe yakubangaiza hayapandi na wafanya usafi wanalipua tu yaan dah sikuwah kuvitumia kabsa nilikuwa nashuka zangu coet, au Nkrumah vya kuchuchumaa
 
yani
sijui ni ushamba wangu au ni vipi yaan hivi vyoo vyenye masink ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahat mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. we unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masink ya kukaa au vyenye masink ya kuchuchumaa?,
mimi ndo huwa sipatani navyo kabisa yani huwa nakata gogo huku nimme simama. sivipendi hata kidogo
 
kwa public si sawa ila nyumbani napendelea cha kukaa nifanye yangu huku natafakari
 
Tatzo ni usafi: vingi vina hali mbaya yaani ukitumia siku mbili tu U.T.I inaanza kukusumbua..
 
Tatizo la kutotembea nchi za Watu, unafikiri ni sawa na kwenu, utazoea na kuvipenda vya kukaa tu Kwani ndiyo vimejaa huko
 
Kiukweli mi sivipendelei ukilinganisha na vile vyetu vya kulenga,huwa sipo comfortable nikivitumia hata kitu cha kimba kinatokaga kwa kusuasua sana.
 
mimi huwa nakojoa chini siku zote
khee miss jamani hivyo ni mbaya sasa tukiingia huko si tunatembeza mikojo yako bar nzima? uwe unapiga singi bomoa ile ni nzuri ila ujue kikibinua sababu unaweza jikojolea
 
sijui ni ushamba wangu au ni vipi yaan hivi vyoo vyenye masink ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahat mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. we unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masink ya kukaa au vyenye masink ya kuchuchumaa?,

Kwa Watanzania usafi ni kitu kigumu sana. Tumevizoea hivyo vyoo kwa sababu hiyo. Kwa wengine ni vigumu sana na wanashangaa kabisa wanapokutana na vyoo vya kuchuchumaa. Hawaelewi wafanyeje.
 
Kweli kabisa hivi vyoo ni shida hata namna ya kujifanyia USAF I ni tatizo, kwenye mahotel waweke pia vyumba vyenye vyoo vya kuchuchumaa
 
*Huku kwetu vijijini unakwenda kiungani na jembe unachimba shimo unajisaidia halafu unafukia.

*Au unakwenda ufukweni bahari maji yame kupwa unajisaidia fresh mpaka maji yakijaa yana safisha kesho unapakuta pako safi tu unaendelea tena.

*Kwa sisi wavuvi usiku baharini unajisadia vitu vinadondokea ndani ya bahari na kama ni mchana unajisaidia ndani ya kopo halafu unamwaga baharini.
 
Back
Top Bottom