Mnawezaje kutumia vyoo vya kukaa?

Mnawezaje kutumia vyoo vya kukaa?

Subiria uzeeke wakati huo huwezi kukunja magoti ndo utaona umuhimu wake. Ni vyoo vizuri sana kutumiwa nyumbani na sio public
 
Tako la binanamu lina kemikali zinazowaua wadudu wote wanaoleta magonjwa,ndio maana ni vigumi kupata ugonjwa kwa kukalia kiti cha choo cha kukaa.
 
Kwanza mi naona raha ya kukata gogo uwe umechuchumaa ila hii ya kukaa mh!
 
*Huku kwetu vijijini unakwenda kiungani na jembe unachimba shimo unajisaidia halafu unafukia.

*Au unakwenda ufukweni bahari maji yame kupwa unajisaidia fresh mpaka maji yakijaa yana safisha kesho unapakuta pako safi tu unaendelea tena.

*Kwa sisi wavuvi usiku baharini unajisadia vitu vinadondokea ndani ya bahari na kama ni mchana unajisaidia ndani ya kopo halafu unamwaga baharini.
Inabidi ushitakiwe kwa kuchafua bahari yetu na kuhatarisha maisha ya samaki wetu.
 
Kama hauli matunda lazima vikusumbue, na kama ulizoea jembe harafu moja kwa moja mpaka yurop pia shida, lakini utazoea tu. Utani!
 
Back
Top Bottom