The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 500
- 767
Wakuu poleni kwa majukumu,
Hivi roho ya ubinafsi au chuki huwa tunazaliwa nayo au ni kutokana na mazingira tunayofanyia kazi na watu wanaotuzunguka.
Huwa inafika muda mtu anapata pesa watu wanachukia, wanaochukia siyo hata ndugu zako ni watu tu ambao hawana mchango wowote katika dhiki au mafanikio yako, watu wanapata wivu wa ajabu mpaka mtu unashangaa haya yote yanatokana na nini?
Wakuu, mwenye uelewa wa haya mambo naomba anieleweshe inakuaje watu huwa wanaumia unapofanikiwa wakati hakuna undugu wala mahusiano yoyote na anaye kuchukia