Mnawezaje ku kwichi kwichi bila music?

Mnawezaje ku kwichi kwichi bila music?

Kuna hiyo day mmh radio imewashwa mziki unaendelea show inaendelea mara kipindi cha dini ikaanza kupigwa "mchanganyo mchanganyo bwana yesu amekataa" ohoooo hapo ndo unagundua kumbe ku kwichi ni dhambi ilibidi akazime radio
 
Robo alina kuchagua ww watu tulishawai kupiga kwa vichaka na gem ilikwenda
 
Back
Top Bottom