Mnautaka muunganoooo...Hautuutaki!!!


Ningetamani sana kupata references juu ya maelezo yako lakini kama kawaida yenu WATANGANYIKA umenip kasumba mulizozoea kulishwa na watawala wenu siku nyingi! Nakuomba ukipata muda njoo Zanzibar nitakupeleka maeneo ya historia utajifunza mambo na kuujua UKWELI usitegemee sana mitandao sababu hua wanaweka mambo kwa maslahi yao. Kuhusu PUNDA HAPANDI MASCAT sijawahi kusikia wala sijui maana yake, hiyo ni misemo ya huko huku HATUITAMBUI! Zaidi nitafute fullshangwe@gmail.com
 

mwekundu?
 
mwekundu?

Kumbe hata Kiswahili ambacho munajidaia ndio lugha yenu ya taifa nacho pia kinawapa tabu kukijua hadi mufundishwe!!!! Neno "Mwekundu" angalia Swahili-English Dictionary-Zanzibar 1939 By Thomas Johnson. Itakua ni vyema endapo mutaufanyia kazi utabiri wa Mulugo mukaungane na Zimbabwe!!!
 
hayo ni maaneno aliyokuwa akiyatamka sheikh faridi wa uamsho kuhamasisha wafuasi wake,,,nao wakajibu hatuutaki..pia watanganyika tumeshauriwa ni heri tujiunge na kenya!!!

Source:itv-habari ya saa 2
uamsho dawa yao ni atokee kiongozi mwengine kama komandoo!
 
mwekundu?

Nilikutabiria tangu mwanzo kama inawezekana Akili zako zimeharibika kwa kutumia sana KITI MOTO! Mwanangu achana nayo ile kitu noma sanaaaaaa. Kumbe umekuja tena lakini nimeshangaa umechagua "Mwekundu" ila "Mweusi" hukuliorodhoresha! By the way I hope nimekufahamisha wapi pa kuyapata maneno ya kiswahili sanifu. Pamoja na hayo nakuomba usijali coz nipo hapa pia kama mwalimu wa Kiswahili hususan kwa watu kama nyinyi ambao munatoka mipakani ya "BODA" za Malawi so ukiwa na maswali usisite kuniuliza.
 

chuo gani madrasa?
Upo juzuu ya ngapi vile maalim?
Mie niliishia arif.. Nikaone ngoja ntafute elimu dunia
 
Dhamb ya ubaguz itaimaliza zanzibar!#fact waamue wanayotaka#ila watakumbuka siku moja! Tanganyika tuna kila kitu wao hawana !
 
Dhamb ya ubaguz itaimaliza zanzibar!#fact waamue wanayotaka#ila watakumbuka siku moja! Tanganyika tuna kila kitu wao hawana !

Let us go kwanini munaleta vijimaneno hata tukifa, tukibaguana, tukiteseka na au kufa kwa njaa, tukitawaliwa na waarabu nyinyi mutapungukiwa na kitu gani!! Ukweli hasa hamutaki kuuweka BAYANA lakini kinachowafanya muwe munaumia pale Wazanzibari wanapopiga kelele juu ya Muungano ni chuki zenu juu ya MAADILI yetu mema tuliyofunzwa na DINI yetu TUKUFU ya UISLAMU. Hem njoo Zanzibar uwaone watoto wa kike wanavyovaa kwa kujisitiri miili yao sio kama wa huko ambao ukiwachilia mbali hile kawaida ya kutembeza 'Bidhaa' zao waziwazi kibaya zaidi hadi Kanisani wanaingia na vitop na vimini
 
Aaagh.... Kazi kuumiza kichwa kuvuta mkate kwa sumaku... Huu muungano uvunjwe tu.. Maana hawa wenzetu wazanzibari naona wanalazimishwa tu...! Kwanini ung'ang'anie kutoa msaada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…