Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,633
- 8,042
Naweza kuitumia kwenye laundry cleaner business?Ngoja hili niliweke wazi maana members wengi wanaulizia PM kuwa wanashindwa kulipia program kwa Paypal.
Ndugu zangu kufungua account ya Paypal sio lazima uwe na card ya bank unaweza kutengeneza card ya bank ya visa kwa kutumia vodacom visa unatengeneza kwa MPesa chapu hata dk tatu ni nyingi umemaliza Yas(Tigo), Airtel na halotel pia wa hizo huduma unapewa card unaijaza kwenye paypal umemaliza unalipia.
hii program kwa bongo ni kama wengi hawaja stuka ila south africa na nigeria kidogo na kenya naona ndio inatumika zaidi kwa africa