Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

Kama umechoka kuandika kila kitu kwenye daftari, unakosea bei kila siku, au hujui biashara yako ina faida au hasara — hii software ni yako!

View attachment 3430255

👊 Inaweza Nini?​

💥 Inaangalia biashara yako mwanzo hadi mwisho:
✅ Unauza bidhaa
✅ Unaweka madeni na mikopo
✅ Unajua faida yako muda huo huo
✅ Unachapisha risiti
✅ Unajua nani anakudai na unamkudai nani
✅ Unapata ripoti safi kama benki

⚡ Ni kwa Ajili ya Nani?​

👉 Kama unamiliki duka, salon, hardware, stationary, au biashara yoyote ya mauzo – hii ndio GAVANA wako.

👉 Haina longolongo – Windows laptop/desktop yako tu, unaanza kazi.

🎯 Vitu Inafanya (Kwa Lugha Rahisi)​

  • Unauza bidhaa – kwa pesa au deni
  • Ukishauza kwa deni, unaweka jina na namba ya mteja
  • Bei ya kuuza haikubali iwe chini ya bei ya kununua – hulindwa na system!
  • Unaweza kuweka bidhaa mpya na bei zake kirahisi
  • Ukiuza sana bidhaa fulani, unaona kwenye chart (graph) moja kwa moja
  • Unaweza kupanga malengo ya biashara (mfano: nataka faida ya laki 5 kabla ya mwezi uishe)
  • Kila risiti au invoice unaweza kuchapisha
  • Kuna sehemu ya losses – kama bidhaa imeharibika, imeibwa au ime-expire, unaweka pale
  • Ukiwa na bidhaa 10, alafu 8 zimeuzwa, system inaonyesha asilimia yake

🛎️ Notifications? Ndioooo!​

📢 Ukibakiza bidhaa chache sana, unapata arifa moja kwa moja — haikubali uishe bidhaa bila kujua.

🧾 Risiti? Ndio!​

Wakati wa kuuza, unaweza kuchagua:
✅ Risiti
✅ Invoice

Zinakuja zikiwa smart – unaweza kuzitumia hata TRA wakikupitia 😎

🧠 Je Unaweza…​

✅ Kubadili bei kulingana na soko? — Ndiyo
✅ Kuuza kwa jumla? — Ndiyo
✅ Kuweka discount ya promo? — Ndiyo
✅ Kuexport database kama backup? — Ndiyo
✅ Kuchapisha bidhaa zote? — Ndiyo

View attachment 3430259

🆓 Siku 7 BURE 🔥​

Ukifunga kwa mara ya kwanza, unapata wiki moja ya bure kabisa.
Baada ya hapo, system inakutaka ulipe kupitia PayPal ili uendelee kutumia – bei ni ndogo balaa!

💰 Bei Kama Ya kususiwa 🍗​

💸 Tsh 8,000 tu kwa mwezi (au $3.20 USD)
👉 Hamlazimishi – lakini ukichelewa kulipia, features zinajifunga hadi ulipie tena. Data zako hazifutwi hata kidogo.

⚙️ Installation? Rahisi Kama ABC​

  • Una run installer
  • Inajisakinisha yenyewe
  • Ikimaliza, mafaili ya setup yanaondoka kimya kimya – usafi unadumu 😎
View attachment 3430263

🔐 Usalama wa Hali ya Juu​

🛡️ Haina matangazo
🛡️ Haina spyware
🛡️ Data zako zipo kwenye laptop yako tu
🛡️ Mtandao unahitajika tu kwa update na malipo

Mfano hapa inaonesha madeni na kiasi ninacho dai
View attachment 3430269

ina sehemu ya kuonesha hesabu ya mwisho baada ya matumizi pia inapima ulinganisho kati ya kipato na matumizi
View attachment 3430276
hapa inakuonesha kila hela iliyotoka na matumizi yake na tarehe pia kwenye plan unaweza ku set malengo yako mfano unalenga kuwa tarehe flan uwe umepata/umekuza kiasi flani cha pesa/biashara na tarehe ikifika kama malengo hayajatimia itakuonesha na kama yanatimia ndani ya muda itakuonesha mwenendo wote Duh nachoka kuelezea View attachment 3430285
Ni hayo tu Program hiyo jaribu utaniambia Gavana download pia unaweza kuipata hapa Gavana Gen 1s
Quick book
 
Quick book
Quickbook nimeitumia ingawa ni kidogo ila gharama zake zipo juu sana na ila tangu nilipokutana na 'Gavana' niliitupilia mbali quickbook pia gavana inaeleweka zaidi kwa mtu yeyote na inatumiwa na watu wengi ila sijamanisha quickbook inatumiwa na wachache hapana ili ukiangalia sehemu nyingi watu wanai sifu sana gavana kama mwana mapinduzi
 
Sawa
 
Kama umechoka kuandika kila kitu kwenye daftari, unakosea bei kila siku, au hujui biashara yako ina faida au hasara — hii software ni yako!

View attachment 3430255

👊 Inaweza Nini?​

💥 Inaangalia biashara yako mwanzo hadi mwisho:
✅ Unauza bidhaa
✅ Unaweka madeni na mikopo
✅ Unajua faida yako muda huo huo
✅ Unachapisha risiti
✅ Unajua nani anakudai na unamkudai nani
✅ Unapata ripoti safi kama benki

⚡ Ni kwa Ajili ya Nani?​

👉 Kama unamiliki duka, salon, hardware, stationary, au biashara yoyote ya mauzo – hii ndio GAVANA wako.

👉 Haina longolongo – Windows laptop/desktop yako tu, unaanza kazi.

🎯 Vitu Inafanya (Kwa Lugha Rahisi)​

  • Unauza bidhaa – kwa pesa au deni
  • Ukishauza kwa deni, unaweka jina na namba ya mteja
  • Bei ya kuuza haikubali iwe chini ya bei ya kununua – hulindwa na system!
  • Unaweza kuweka bidhaa mpya na bei zake kirahisi
  • Ukiuza sana bidhaa fulani, unaona kwenye chart (graph) moja kwa moja
  • Unaweza kupanga malengo ya biashara (mfano: nataka faida ya laki 5 kabla ya mwezi uishe)
  • Kila risiti au invoice unaweza kuchapisha
  • Kuna sehemu ya losses – kama bidhaa imeharibika, imeibwa au ime-expire, unaweka pale
  • Ukiwa na bidhaa 10, alafu 8 zimeuzwa, system inaonyesha asilimia yake

🛎️ Notifications? Ndioooo!​

📢 Ukibakiza bidhaa chache sana, unapata arifa moja kwa moja — haikubali uishe bidhaa bila kujua.

🧾 Risiti? Ndio!​

Wakati wa kuuza, unaweza kuchagua:
✅ Risiti
✅ Invoice

Zinakuja zikiwa smart – unaweza kuzitumia hata TRA wakikupitia 😎

🧠 Je Unaweza…​

✅ Kubadili bei kulingana na soko? — Ndiyo
✅ Kuuza kwa jumla? — Ndiyo
✅ Kuweka discount ya promo? — Ndiyo
✅ Kuexport database kama backup? — Ndiyo
✅ Kuchapisha bidhaa zote? — Ndiyo

View attachment 3430259

🆓 Siku 7 BURE 🔥​

Ukifunga kwa mara ya kwanza, unapata wiki moja ya bure kabisa.
Baada ya hapo, system inakutaka ulipe kupitia PayPal ili uendelee kutumia – bei ni ndogo balaa!

💰 Bei Kama Ya kususiwa 🍗​

💸 Tsh 8,000 tu kwa mwezi (au $3.20 USD)
👉 Hamlazimishi – lakini ukichelewa kulipia, features zinajifunga hadi ulipie tena. Data zako hazifutwi hata kidogo.

⚙️ Installation? Rahisi Kama ABC​

  • Una run installer
  • Inajisakinisha yenyewe
  • Ikimaliza, mafaili ya setup yanaondoka kimya kimya – usafi unadumu 😎
View attachment 3430263

🔐 Usalama wa Hali ya Juu​

🛡️ Haina matangazo
🛡️ Haina spyware
🛡️ Data zako zipo kwenye laptop yako tu
🛡️ Mtandao unahitajika tu kwa update na malipo

Mfano hapa inaonesha madeni na kiasi ninacho dai
View attachment 3430269

ina sehemu ya kuonesha hesabu ya mwisho baada ya matumizi pia inapima ulinganisho kati ya kipato na matumizi
View attachment 3430276
hapa inakuonesha kila hela iliyotoka na matumizi yake na tarehe pia kwenye plan unaweza ku set malengo yako mfano unalenga kuwa tarehe flan uwe umepata/umekuza kiasi flani cha pesa/biashara na tarehe ikifika kama malengo hayajatimia itakuonesha na kama yanatimia ndani ya muda itakuonesha mwenendo wote Duh nachoka kuelezea View attachment 3430285
Ni hayo tu Program hiyo jaribu utaniambia Gavana download pia unaweza kuipata hapa Gavana Gen 1s

Hiyo haifai kwa wafanya biashara za vitu vya majumbani maana muda wakujaza hizo taarifa ,huyu anataka mafuta robo huyu chumvi huyu sukari robo
 
Hiyo haifai kwa wafanya biashara za vitu vya majumbani maana muda wakujaza hizo taarifa ,huyu anataka mafuta robo huyu chumvi huyu sukari robo
Kama hii haitakufaa basi hakuna ambayo itakufaa kwa biashara kama hiyo maana hii huandiki bei ya bidhaa ila una andika tu kiasi cha bidhaa inakupa bei kamili program zingine una andika bei kila ukiuza na ni rahisi kujichanganya
 
muonekano mpya wa gavana kwa tulio update kuanzia wiki iliyopita tumekutana na chanes kama hizi "
3.png
2.png
Annotation 2025-08-28 191538.png
"
 
Ambayo NI simple kuitumia
mkuu mimi natumia gavana nakaribia mwaka na nusu ni wewe tu unaweza kuamua utumie kwa jumla na reja reja na ni rahisi sana taarifa zote inakupa taarifa ikiwa bidhaa flani inaisha OYAA mfano kuna mdau ame post hii picha
home.png

naweza kukuelekeza pia ukiwa na muda
 
mkuu mimi natumia gavana nakaribia mwaka na nusu ni wewe tu unaweza kuamua utumie kwa jumla na reja reja na ni rahisi sana taarifa zote inakupa taarifa ikiwa bidhaa flani inaisha OYAA mfano kuna mdau ame post hii picha View attachment 3457685
naweza kukuelekeza pia ukiwa na muda
Mkuu wa Sisi wenye maduka ya pipi,sigara,Michele,soda,vicha,viberiti,big g ,sindano,mafuta,, huu mfumo ni rafiki kweli?
 
Mkuu wa Sisi wenye maduka ya pipi,sigara,Michele,soda,vicha,viberiti,big g ,sindano,mafuta,, huu mfumo ni rafiki kweli?
kabisa mkuu mfano unaona button ya 'New' hapo unaweka jina na idadi ya bidhaa unaweka bei uliyo nunulia na bei uliyopanga kuuzia kisha yenye itakuonesha utapata faida gani na kizuri zaidi huwezi kuchanganya mahesabu maana utaandika tu idadi ya ulicho uza kisha yenyewe itakupa bei kamili unayotakiwa kulipwa
 
mim nlikuwa natumia toleo la zaman ila nalo naona liko poa sana ingawa jipya nalo ni moto zaidi kwa izo dashboard zake
 
Mkuu nina stationery nimemuweka wife, anasumbuka katika hesabu. Hii inaweza kupiga hesabu mfano nataka nitengeneze vitabu 100, itapiga hesabu gharama ya material ninayohitaji kununua yote endapo kama ninayafahamu kisha ikanipa na faida nitakayopata?

Nilifikiria kutengeneza Excel ila hii nahisi itamsaidia zaidi, pia si unajua hawa wanapenda vitu smart, kama itafaa nimchukulie hii.
 
I can dare to say yes: ukiwa unaingiza bidhaa kwa mara ya kwanza ni lazima uandike kiasi ulichotumia kununua bidhaa utaandika ikiwa kuna gharama zilitumika kwenye maandalizi utaandika mfano kuandaa kitabu kimoja ime ku-cost 5000tzs utaiandika na itakuomba uandike bei unayokusudia kuuza na utaweka idadi ya vitabu ulivyonavyo(Units) baada ya kumaliza inaonesha faida ya kila bidhaa moja moja na zote kwa jumla.

pia unaweza kuongeza bidhaa kwenye bidhaa zilizopo bila kuandika bei na unaweza kupunguza ikiwa kuna loss mfano expire, kuvunjika na zaidi muuzaji ataweka sababu na itakuonesha loss.

inakuonesha ikiwa kuna bidhaa zinaupungufu mfano zimekaribia kuisha au zimeisha kabisa mkuu mambo ni mengi sana ila ni rahisi sana hai hitaji elimu zaidi ya kujua kusoma tu na kuandika kingine kwenye kuuza huna haja ya kuandika bei ya bidhaa ukiwa unauza unaandika tu idadi kisha inakupa bei kwa ujumla unayotakiwa kulipwa
 
Inaonesha wastani wa kipato chako na matumizi yako mfano na mtaji wa 100,000tzs na faida ya 50,000tzs na una deni la 200,000 na ukalipia deni lote kwenye dashboard itakuonesha Capital 0tzs, Balance 0tzs, XPayment 50,000 (expayment) ni hela ambayo umetoa kwenye nje ya mzunguko wako wa biashara ikimanisha unadaiwa 500,000 kwenye chanzo kisicho julikana.

inakuonesha bidhaa zinazo uzika zaidi ili kama utaamua kuzijaza dukani ujaze tu
 
Mkuu wa Sisi wenye maduka ya pipi,sigara,Michele,soda,vicha,viberiti,big g ,sindano,mafuta,, huu mfumo ni rafiki kweli?
Ngoja hili niliweke wazi maana members wengi wanaulizia PM kuwa wanashindwa kulipia program kwa Paypal.

Ndugu zangu kufungua account ya Paypal sio lazima uwe na card ya bank unaweza kutengeneza card ya bank ya visa kwa kutumia vodacom visa unatengeneza kwa MPesa chapu hata dk tatu ni nyingi umemaliza Yas(Tigo), Airtel na halotel pia wa hizo huduma unapewa card unaijaza kwenye paypal umemaliza unalipia.

hii program kwa bongo ni kama wengi hawaja stuka ila south africa na nigeria kidogo na kenya naona ndio inatumika zaidi kwa africa
 
Back
Top Bottom