Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana

Annotation 2025-09-24 152857.png
 
Quickbook nimeitumia ingawa ni kidogo ila gharama zake zipo juu sana na ila tangu nilipokutana na 'Gavana' niliitupilia mbali quickbook pia gavana inaeleweka zaidi kwa mtu yeyote na inatumiwa na watu wengi ila sijamanisha quickbook inatumiwa na wachache hapana ili ukiangalia sehemu nyingi watu wanai sifu sana gavana kama mwana mapinduzi
Gavan inaweza kutumika kwa kampuni, kwa issue za estimates, invoices,LPO, bills n.k?
 
Back
Top Bottom