Mnashinda Baa kulewa na kufanya zinaa kwenye malodge mnaogopa magari mazuri na kujaza mafuta. Ubahili wa kizamani umewajaa watu

Mjomba mimi sina gali lakini nakazia hilo swala ama hii mada kuna wanangu nawaona sana lakin katika viwanz wanaluka sana kuliko maelzo lakin unakuta anagali la kaawaida kabisa ambazo bata anazozitimia na hilo gal la kiaina ni saw angenunua gali yenye muonekano mzuli sana na lenye uimala uliobola zaid ya alilonalo
Mimi ndio wimbo wangu nawachana wana daily if you be happy go for the best or among the best, ni ujinga unatumia bar na mademu lodge laki8 hadi milioni kadhaa unakuwa bahili mafuta ya laki2,3 ni ujinga.
 
Mkuu unalazimisha vipaumbele kwa wenzio, maana hili povu si mchezo............unaongelea watu wamiliki gari kali kana kwamba ni hitaji muhimu kwa maisha ya kila binadamu, punguza ushamba.
 
Mkuu unalazimisha vipaumbele kwa wenzio, maana hili povu si mchezo............unaongelea watu wamiliki gari kali kana kwamba ni hitaji muhimu kwa maisha ya kila binadamu, punguza ushamba.
Umaskini tabu sana nakupa pole sana
 
Una maoni hafifu sanaa,Fikiria kupanda kwa nauli ya mabasi ya watoto wa shule,Bidhaa za mazao ya kilimo.Na huduma mbali mbali.Kaa kimya aisee.
 
Acheni uoga na ushamba eti ooh kama gari wamenunua wachache haifai acheni ushamba, Nairobi Kenya is 50 yrs ahead of foolish tanzanian people
Hao wa kubadili canter kuwa matatu shenzi kabisa Kenya hakuna walichotuzidi pesa yako iko juu ila wanamaisha magumu kuliko mavi yangu
 
Wasalaam JF,

Kuna hii kasumba ya Kiafrika na kitanzania watu wanaogopa kununua magari mazuri kisa tu et bei ya spares, spare availability, na ulaji wa mafuta. Ujinga mtupu , wakati matumizi yenu ya kuruka vianja bar na kufanya ngono kwenye guest/lodges ni makubwa kuliko hofu zenu za kijima.

Huwezi kufanya makubwa na kusonga mbele ukiwa na hofu za kishamba.

Nunua gari ukiwa na akili timamu tena uwe rational na logical decisions, stupid mindsets za comparison mentality zita waangamiza.

Panua akili kwenye kila eneo.

Akili zako ndio ramani yako ya maisha.

Shukrani

Wadiz
Wewe unateseka na nini wakati maisha ni yao?
 
Mkali wa threesome nipo hapa na Sina huo ujinga wenu uoga wa kishamba
Mkuu umepatwa na nini? Hizi stress hizi, sasa unalalamika nini wakati maisha ni yao? Mwingine leo kaandika eti watu wa Dar hawapendi wageni, aliyeandika na wewe wote mko sawa
 
Mjomba mimi sina gali lakini nakazia hilo swala ama hii mada kuna wanangu nawaona sana lakin katika viwanz wanaluka sana kuliko maelzo lakin unakuta anagali la kaawaida kabisa ambazo bata anazozitimia na hilo gal la kiaina ni saw angenunua gali yenye muonekano mzuli sana na lenye uimala uliobola zaid ya alilonalo
Wewe nenda kajifunze kuandika kiswahili vizuri then ndiyo uje kutoa ushauri humu.
 
Mkuu umepatwa na nini? Hizi stress hizi, sasa unalalamika nini wakati maisha ni yao? Mwingine leo kaandika eti watu wa Dar hawapendi wageni, aliyeandika na wewe wote mko sawa
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom