Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,510
Una ndugu nyani?
sarfhtghjy
He/she is ralaxing...probably pondering over something....maybe some future plans or something like that.
He/she is ralaxing...probably pondering over something....maybe some future plans or something
Halafu na wewe ndugu yangu unavyopenda uzungu uzungu wakati uzungu wenyewe haukupendi!
Ulitaka kumaanisha nini kwenye hizo picha mbili?
Mbona kafulila katokea Kigoma kusini kwenye hawa washikaji wengi sana, kwenye milima yaMahale , lakini hafanani na jamaa kabisa!!
mchukulie poa mkuu, si unajua miafrika ndivyo tulivyo.Acha kujipendekeza! Sio ndugu yako mimi.
Halafu hapo unapodhani umesahihisha....ni umejionyesha tu jinsi ulivyo mweupe! Tembea tembea kidogo ujifunze lahaja za watu.
sarfhtghjy
Mkuu acha uchokozi !
mweeeh!!!