The suspender
Senior Member
- Sep 1, 2020
- 128
- 138
1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
Amka ndugu kwenye ndoto nzito unayoota.
Kwa Mipango gani mliyonayo CDM kuiangusha CCM?
Kutukana Mitandaoni huko Twitter?
Matusi Majukwaani badala ya kunadi sera na Ilani ya Chama chenu?
Amka kumekucha wewe acha kuota ndoto zako za Kimweri na Alinacha.