Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,824
- 9,640
JaneEndeleeni kuota tu. Ni haki yote kuota, hatuwezi kuwazuia
JaneEndeleeni kuota tu. Ni haki yote kuota, hatuwezi kuwazuia
Kwa mikakati inayopangwa, ushindi ni lazimaH.A.S.H.I.N.D.I
Inawezekana maana kanawashwa washwa sanaKana fistula?
Hata KANU hivyo tafuta danga jingine usife njaa la ccm mwisho OctoberEndeleeni kuota tu. Ni haki yote kuota, hatuwezi kuwazuia
Kama Kanda ya ziwa ngome yenu ndo vile vipi Kanda zingineTukate robo ya wapiga kura wa babeli mpewe nyinyi kwa mkopo.
kisha muungane wanyanyembe wote wa nchi nzima bado hamtoweza kuiangusha babeli.
andikeni tu kwa sababu Tanzania kuna uhuru wa kujieleza na kuandika chochote mtu atakacho.
Kanda ya ziwa hakuna maajabu yaliyotokea kuzidi ya Lowasa aliepita, lakini mwisho wa siku mlikalia msumali wa moto wa gesi.Kama Kanda ya ziwa ngome yenu ndo vile vipi Kanda zingine
Mimi nipo kwenye KAMATI YA WACHOCHEA KUNI(KAWAKU).Sasa wewe uko kundi gani? Mara umshabikie Lissu mara uko kwa jiwe ukoje wewe?
Ni sawa na fisi mwenye njaa kusubiri mkono wa binadamu akidhani utadondoka ili ale.1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
Ushapwaya weeee hata unavyoongea watia hurumsEndeleeni kuota tu. Ni haki yote kuota, hatuwezi kuwazuia
The best commentNgoja Lissu aongelee urekebishaji wa Fistula kuwa utakua bure ili nawewe umuunge mkono
Muwe mnabakisha maneno msije baadae mkaambiwa " Ngoma ya kitoto haikeshi"1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
Usimfananishe TL na AL yule hakuwa na ushawishi ila alikua na nyota akisimama yy ni ELIMU ELIMU ELIMU kamaliza TL ana mwaga nondo hatarii na alipoanza alibezwa kadiri anavyoendelea anakuja juu km moto wa gesi hakuna kundi alilokua hajaligusa na Hana anachoogopa ibeni akunukisheeUkifuata yanayoongelewa kwenye mitandao, unaweza ukadhani sasa Chadema wamechukua nchi. Hakuna kipindi ambacho watu walidhani CCM ingeanguka kama 2015. Mitandao ilipamba moto lakini matokeo yalivyoanza kutangazwa watu walikimbia siyo Facebook, tweeter, instragram na humu JF. Hata humu, haya mapambio mwisho wake itakua tarehe 29 na 30 Oktoba, 2020.
Kweli lkn itakua chato si ChamwinoMagufuli yupo mpaka 2030
Mnajua kujipa moyo wananzengo kwa hili nawasifu...mwaka 2015 ilikuea hivi hivi Tena na zaidi lakini mambo yakawa tofauti..achana na watanzania wewe ni ngoma nyingine1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
Mwaka huu hamna kumuachia Mungu.Mnajua kujipa moyo wananzengo kwa hili nawasifu...mwaka 2015 ilikuea hivi hivi Tena na zaidi lakini mambo yakawa tofauti..achana na watanzania wewe ni ngoma nyingine
Watu wamechoka na jiwe ajifunze kuwa sio lazima watu waandamane mtaani siku hizi watu wanaandamana online na ujumbe unafika.1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
1.Ukipita kwenye magroup ya wanavyuo yamepamba moto.
2.Ukipita kwenye magroup ya wafanyakazi kimewaka
3. Ukipita kwenye magroup ya kijani kupo jiii kumepoa kama kiporo cha uji
4. Ukipita magroup ya upinzani, kimesanuka
5. Ukipita magroup ya wafanyabiashara, ni motoo
6. Ukipita magroup ya kitaa, hali ni tete.
Kuna kila dalili mnara wa babeli unaanguka uchaguzi huu.
2015 ilikua zaidi ya haya tunayoona sasa ila kilichotokea wanakifahamu,Mnajua kujipa moyo wananzengo kwa hili nawasifu...mwaka 2015 ilikuea hivi hivi Tena na zaidi lakini mambo yakawa tofauti..achana na watanzania wewe ni ngoma nyingine