Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Kukitokea kashfa ya kweli maana ni kweli sio makusudi mnacho kifanya.
Ilitokea risiti ya TRA ya abdul karibia mabilioni ya manunuzi ,watu walipo tangaza tu mkafunga mfumo wa kujua utambuzi TIN na malipo ya muhusika.
Na mpaka bungeni mshawahi kufanya hivyo.
Sasa hivi mumefanya kila sehemu ambayo uwezi kujua plate number ya gari,Bima jina lake,ardhi usajili,kampuni na n.k.
Kwa kashfa za viongozi kupata taarifa ndio mnaona mnawalinda.