Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?

nilisikia tu mahali,

kwamba mapenzi ya siku hizi eti hataa ukitoa hewa chafu.. wapewa pole!
 
Excel......ikitoka kimahaba inanogaga sometimes poleeee....thank you nini nakshi tu na mbwembwe pata picha mpz yuko kifuani kalalia kifua we ndio unahema na moyo kudunda hatari anakupa poleeee alafu anakusafisha how will it feel .......inapendeza sanaaa ...wazee wetu zamani walikuwa.wanatumia sana vionjo hivyo na ndio maana walidumu na kuenjoy sana maana akienda nje apati petipeti hizo ....sema sikuhizi watu business tu hata kumsafisha mwenzio nooo....kila mtu kivyake...
 
inatumika neno asante tu kwa huduma baby

sometimes unaweza kufanya kwa vitendo baada ya mechi unampa kiss yeye hisia huku nimejilaza kifuani mwake ooooh lzima atajua kaniuna vzuri
 
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!

Hakuna kupeana pole kati yenu. Sanasana litakuwa ni suala la kupongezana. Wakati mwingine lawama ni lazima zitolewe kwa upande ulioonekana kutegea. Cha kujiuliza ni nani mwenye uwezo wa kumlalamikia mwenza wake kuwa hajaperform kisawasawa?
 
Kwakuw mgegedwa huwa anazidiwa muda fulani,na unamwona kazidiwa kabisa hataki uendelee so yeye ndo anatakiwa kupewa pole.
 
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!

Huwa ni asante pole ya nini tena?
 
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!

Heeee mie mume wangu nampa pole ya mwendo wa safari ndefu ya kupandisha maji toka bondeni kwenda mlimani na yeye ananipa asante kwa kumfanikishia safari yake kuwa safi,njema na salama kiafya na kiakili. Tena na asb tukiamka namsalimia kwa kumwambia SHIKAMOOO MY HUBBBY! Anapokea na kunipa busu la nguvuuuu tayari kwa sisi kuanza siku muuupyaaaaaa!
 
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!

Pole? yalikuwa ni mateso? Nadhani mpeane hongera.

Tena utasikia pole kwa kazi? Ebo! Iwe hongera kwa kazi. Kwani kazi ni ugonjwa? Si umeomba mwenyewe?
 
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!
Pole ya nini kwani kuna mtu anaumwa kati yenu? Au mlikuwa mnapigana bahati mbaya mkaumizana?
 
mimi kama mkurya nikimwagu nafunga zipo no pole sante:nod:
 
mi nadhani pole hutolewa kwenye suala ambalo kwa namna moja ama nyingine limemuumiza,limemkera au limekwenda kinyume na matakwa ya mhusika...... je kupeana mapenzi nako kunaenda kinyume na matakwa??? pole haistahili hapo maana ni jambo la starehe na ni makubaliano ya wahusika wote wawili.....

yes, naweza kubaliana na wewe kimtindo....

wewe umemlazimisha mdada wa watu, akakupa tigo....ukaigegeda,

hivi kwanini usimpe pole yake jamani....?
 
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!

Mwanamke apewe pole maana katongozwa kakubali,wakati wa kula tunda analaliwa,anainamishwa, anakunjwa,zaidi ya yote yeye ndiye mkatikaji, yeye ndiye anayelia. Sasa nani apewe pole? Tena usimpe pole ya maneno tu, hesabu na msimbazi kadhaa umfutie machozi.
 
maisha yanaenda kwa kasi sana CORAL,

yote uliyosema hapo, siku hizi ndo unakuta yanafanywa na akina mama,

mwanamke anatongoza, wakati wa kula tunda mwanamke ndo anaendesha gwaride,

wote wanakatika tu siku hizi, hata kulia wote wanalia.........

haya hapo utasemaje?
 
Ila jamani sometimes huwa inatokea kuumizana kutokana na ukali wa mechi husika na hasa kwenye vitendea kazi vyenyewe,kwahiyo naona kama pole ina nafasi yake pale!
 
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!
Mkuu minaona pole ni kwa watu waliofiwa au kupatwa na matatizo ya aina flani.Kwa mkengedo ni starehe tu hiyo, kwa hivyo nikupongezana kwa kazi njema. Ingekuwa ni mambo na pole(maumivu) pasingetoke mtu yeyote kutamani mkengedo.
 
Back
Top Bottom