mumak
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,069
- 670
pole ni part ya appreciation
kwnn msipeane hongera?
pole ni part ya appreciation
Nilikuwa na wenzangu kwenye kijiwe kimoja tunazungumzia mambo ya kupeana ma lavi davi,swala lililotuletea utata na tukaachana bila kupata muafaka ni kuwa yupi anastahili kupewa pole bada ya kufanya mapenzi,mwanaume au mwanamke-yaani nani ampe pole mwenzie!
sitoagi pole zaidi ya kusema ahasante kwa huduma
Asante ya nini wakati hailipii hata kodi ?amepewa bure anatoa bure
Atakayefiwa atapewa pole
wa mwisho kupiga bao
sitoagi pole zaidi ya kusema ahasante kwa huduma
Hata mimi nashangaaStarehe na pole wapi na wapi!
Pole huku unanichumu hahahhhahPole !!!!!:busu:busu
Pole huku unanichumu hahahhhah