Mnaotaka kuolewa msionjeshe

Utauzwaje mbuz kwenye gunia bhn
 
mwanaume gani anapenda kuzungushwa siku hizi, mtoa mada wengi utawaponza wakati option zipo tele.
 
Shost inahusu unaingia ndoani bila kuonja halafu unakuta gia box imekufa, au ya kichina.....Kuonjana lazima tena iwekwe kwenye katiba inayopendekezwa kama wamesahau...

Sitaki kuamini ni mwanamke anaetamka haya!
 
hata karanga tu wanaonjesha sembuse papuchi . utafanyaje tathmini bila ya kukusanya data wewe umekuwa twaweza
 
Nanaa nimekupata hakuna tabu,ila kunifanyia ntimanyongo kwenye mawasiliano sijafurahi kwa kweli,
 
mmm kwa majibu niliyoyaona humu nadhani mleta mada harudi tena
 
Sasa wasipo onjesha michepuko itaplay part iliyobak....
Theni michepuko ikifanya vema inachukua namba ya kudumu....


Kidumu chama cha michepukoo
Teh teh!! Eti anaomba usajili wa kudumu bila kufanya vipimo wala mechi za majaribio!! Haijapata tokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…