Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 5,076
- 10,556
- Thread starter
- #21
Mkuu naomba delivery ya wi-fin
nunua WiFi wewe acha ubahir una lipia 70k una tembea nayo popote pale kwa utulivu
Mkuu naomba delivery ya wi-fin
nunua WiFi wewe acha ubahir una lipia 70k una tembea nayo popote pale kwa utulivu
Kwanini wenzake 9 hapo dukani 😹😹Sasa si anatumia yeye na wenzake 9 hapo dukani kwake.
Asalimie watu tu 😹😹kuna za jero mjini siku nziiimaaaaaaaaaaa
njoo geto uchukue una taka ya mtandao ganiMkuu naomba delivery ya wi-fi
9 maana yake ni kuwa hayupo peke yake. Wauza duka wengi wana buy time kwa kutumia sana social media platforms. Umeelewa mke wangu??Kwanini wenzake 9 hapo dukani 😹😹
Jesus!! 😹😹9 maana yake ni kuwa hayupo peke yake. Wauza duka wengi wana buy time kwa kutumia sana social media platforms. Umeelewa mke wangu??
Mke wangu wa Arusha Depal.Jesus!! 😹😹
Sawa, nimekusoma.
Moshi wanaziita 'Wi Fi poa'kuna za jero mjini siku nziiimaaaaaaaaaaa
Kuna Halichachi Mb 250M kwa Buku tu ,unatumia miezi mitatu kuperuzi JF.Kuna mtu hapa yeye kila uzi lazima accomment 24/7 Hrs. Sasa ndugu mnatoa wapi hela ya kununulia bundles? Au ndo ilishasemwa Jf ni mtandao wa watu madon?
Nakumbuka zile zama Mkuu, JF Mobile version ilikuwa haipo mpaka utumie PC na bando lilikuwa ni bei ghali 500 MB ilikuwa ni sh 7000.Mkuu, kama bado unawaza kuhusu bando Mungu akusaidie.. Huo muda waza utakula nini kabla ya kuwaza maswala ya bando.
Sasa hivi bando bwelele.. Kipindi najiunga JF 2007, nikitaka kuingia JF naendda Stationary kulikuwa na Computer.. Nikiwa mjini naingia mle ndani Posta kulikuwa na Sehemu kuna komputa.. Kutumia internet Nusu saa nilikuwa nalipia buku.
Kipindi hicho JF haina mention wala like. Like zilikuwa zinaitwa Thanks.
Kipindi hicho hata mtu akikuquote hujui.. Hivyo ulikuwa unatakiwa upitie thread zote ulizokomenti kuangalia kama kuna mtu kakujibu.
Sasa hivi buku unapata bando la wiki.
Mkuu mbona bando sasahivi ndio ghali kuliko kitambo hicho.Nakumbuka zile zama Mkuu, JF Mobile version ilikuwa haipo mpaka utumie PC na bando lilikuwa ni bei ghali 500 MB ilikuwa ni sh 7000.
wewe unapimiwa GB duuu inamaana wanakulimiti FUP... hama hukoooooooooView attachment 3707017
sijui kama ni gharama au la maana tunatofautiana vipato but trust me ukitaka kuenjoy internet nunua router au modem tena hakikisha ni ya Voda maana izo zingine utajuta. bando la kutop up kila siku hata ununue MB za elfu 10 hazitoboi siku
Hahahahaaa🤣🤣🤣Jamani
Mbona hili uwa linaisha ndani ya dk 20😹