Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

Weeengi wenu mmeshusha matusi na kejeli kwa jamaa ila me naona Macbook pro yuko sahihi kabisa kwa maonu yake ni ushamba kupost vitu kama hivo...........

Lakini mkuu Macbook pro acha kuangalia status chagua zile utakazoangalia au acha kabisa si lazima
Mkuu, binadamu wana tofauti, hawafanani. Kile ambacho wewe unakiona cha ajabu, kwa wengine wanaona si ajabu.

Huo "usahihi" unautafsiri kutoka kwenye mwongozo upi? Isijekuwa utashi wako na preferences zako unataka ziwe za wote.

Kuna mambo ambayo wewe unayafanya na unayaona ni "sahihi" kwako ila wengine wanaona unafanya mambo ya "kishamba."

Miaka ya nyuma (sijui umri wako) wageni wakifika majumbani kwetu walikuwa wanapewa photo albums kuangalia picha mbalimbali za wenye nyumba.

Sijui kama hilo lilikuwa "ushamba".

Ila tofauti ya sasa ni teknolojia. Badala ya kupewa physical photo albums, wanapewa digital ones. Zinawekwa kwenye WhatsApp status. The same practice but different approaches and platforms.

Niseme tu, kila mmoja aishi kwa namna anavyoona ni sahihi kwa upande wake.

Na sisi wapenzi watazamaji tujifunze kukubali tofauti za wengine na matendo yao. Kama zinatukera, walk away.
 
KUHUSU WADADA/WANAWAKE KUTO POST WANAUME WAO.

Mwanamke huwa yupo mbali sana na umasikini na sio rahisi yeye kuupost umasikini kama qfanyavyo mwanaume.Ukiiona mwanamke amepost mwanaume wake ujue amejitahidi sana au lah ipo namna kalipwa au anategemea kulipwa
 
Mkuu, binadamu wana tofauti, hawafanani. Kile ambacho wewe unakiona cha ajabu, kwa wengine wanaona si ajabu.

Huo "usahihi" unautafsiri kutoka kwenye mwongozo upi? Isijekuwa utashi wako na preferences zako unataka ziwe za wote.

Kuna mambo ambayo wewe unayafanya na unayaona ni "sahihi" kwako ila wengine wanaona unafanya mambo ya "kishamba."

Miaka ya nyuma (sijui umri wako) wageni wakifika majumbani kwetu walikuwa wanapewa physically photo albums kuangalia picha mbalimbali za wenye nyumba.

Sijui kama hilo lilikuwa "ushamba".

Ila tofauti ya sasa ni teknolojia. Badala ya kupewa physical photo albums, wanapewa digital ones. Zinawekwa kwenye WhatsApp status. The same practice but different approaches and platforms.

Niseme tu, kila mmoja aishi kwa namna anavyoona ni sahihi kwa upande wake.

Na sisi wapenzi watazamaji tujifunze kukubali tofauti za wengine na matendo yao. Kama zinatukera, walk away.
Thus why nimeandika aache kuangalia picha hizo kama anakereka😎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom