Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

😄😄😄 Kimantiki; Caption hiyo ndio tatizo, yes kama amemmiss angeweza kumtumia msg inbox. Otherwise alitakiwa atuandikie sisi waangaliaji kuwa “wakuu nimemmiss sana mke wangu” Angekuwa ameelezea hisia zake kwetu watazamaji.

Hata hivyo hakuna rule-book katika hili mkuu, take it easy. Ni kitu kisicho na madhara kwake mfanyaji wala kwetu watazamaji.

Ponya roho yako, ni wazi una tatizo.
 
Ili usipate kero kama hiyo, achana na kuangalia status za watu. Kwani zinakuingizia kipato chochote? Nenda kapige kazi.

Mimi kwa siku huenda nisiangalie status hata moja. Nikiangalia nyingi kwa siku hazizidi 3.

Kwanza unatafuta nini kwenye status za wanaume wenzio?
 
Habarini za asubuhi 5 am Club members na Wengine ?

Nimeamka asubuhi hii nikawa na natizama status kidg kabla sijaenda mezani kufanya kazi zangu binafsi kabla ya muda wa kwenda kutimika utumwani (Utumishi).

Nimekutana na post ya mshikaji mmoja amepost picha ya Mwanamke ambaye ni mke wake kwa mujibu wa maelezo yake pale chini akisema

"Nimekumiss sana Mke wangu...I can't wait to see you again " na Sio huyu tu, Mwingine tena wiki mbili zimepita alimpost mkewe na yeye mwenyewe akimwambia "Nimekumiss sana mama watoto, Akaweka na makopa kopa"
Na wanaoweka haya mtangazo ya hivi wengi ni wanaume!

Hivi washikaji zangu, huwa mnataka sisi viewers tujibu au tufanye nini kama wewe ndio umemmiss mkeo si Umwambie huko inbox kwenu. Kwani sisi wote tunao view status yako ni wake zako ??

Na kwa nini hii trend inakua kubwa kwa wanaume ?? Sijaona post ya mdada akisema nimekumiss mme wangu zaidi utaona video zao wakibinua viuno na kutuonyesha Ma*ko na kuchezesha kope bandia huku wameweka Filter. Au kuna jambo ambalo mimi silijui ?? Have the men community turned into simps ??

Huu ni Ushamba sana !! Kama unampenda mkeo si unwambie privately? Basi kama kama unataka kuthibitisha si umeamua kuthibitishia kuwa unampenda huyo Mwanamke wako uju uweke pia video ukiwa unamshughulikia.... !! Nilijua hizi ishu za kujikosha mtandaoni ni za wanawake sasa wanaume tumeanza kufuata.
Kwani umelazimishwa kuangalia status ya mtu?

Kwa nini unataka kujipa umuhimu usio nao kwenye maisha ya watu baki?
 
Sasa kama unaandika maneno ya mahaba kwenye status na unayemlenga unaweza kumtumia private tu huoni kama ni Ushamba.
Ona unavyoteseka..!!
Punguza shobo za kuhifadhi number za watu, ndo washapostiana sasa kufa 😹😹
 
Habarini za asubuhi 5 am Club members na Wengine ?

Nimeamka asubuhi hii nikawa na natizama status kidg kabla sijaenda mezani kufanya kazi zangu binafsi kabla ya muda wa kwenda kutimika utumwani (Utumishi).

Nimekutana na post ya mshikaji mmoja amepost picha ya Mwanamke ambaye ni mke wake kwa mujibu wa maelezo yake pale chini akisema

"Nimekumiss sana Mke wangu...I can't wait to see you again " na Sio huyu tu, Mwingine tena wiki mbili zimepita alimpost mkewe na yeye mwenyewe akimwambia "Nimekumiss sana mama watoto, Akaweka na makopa kopa"
Na wanaoweka haya mtangazo ya hivi wengi ni wanaume!

Hivi washikaji zangu, huwa mnataka sisi viewers tujibu au tufanye nini kama wewe ndio umemmiss mkeo si Umwambie huko inbox kwenu. Kwani sisi wote tunao view status yako ni wake zako ??

Na kwa nini hii trend inakua kubwa kwa wanaume ?? Sijaona post ya mdada akisema nimekumiss mme wangu zaidi utaona video zao wakibinua viuno na kutuonyesha Ma*ko na kuchezesha kope bandia huku wameweka Filter. Au kuna jambo ambalo mimi silijui ?? Have the men community turned into simps ??

Huu ni Ushamba sana !! Kama unampenda mkeo si unwambie privately? Basi kama kama unataka kuthibitisha si umeamua kuthibitishia kuwa unampenda huyo Mwanamke wako uju uweke pia video ukiwa unamshughulikia.... !! Nilijua hizi ishu za kujikosha mtandaoni ni za wanawake sasa wanaume tumeanza kufuata.
Punguza hasira mkuu.
Achana na ku-view hizo status
 
Huu ni ukweli lakn kabla ya kuleta mada huku umesha waeleza hao wahusika?japo kuwa na huku wapo pia😂😂
 
Weeengi wenu mmeshusha matusi na kejeli kwa jamaa ila me naona Macbook pro yuko sahihi kabisa kwa maonu yake ni ushamba kupost vitu kama hivo...........

Lakini mkuu Macbook pro acha kuangalia status chagua zile utakazoangalia au acha kabisa si lazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom