Mnaopanga kuandamana tena

Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya

Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Nawaonea huruma wale ambao ni wajafazito na tarehe zao za makadirio ni mwezi wa 12. Ukisikia kujifungulia nyumbani ndio hiyo sasa
 
Nawaonea huruma wale ambao ni wajafazito na tarehe zao za makadirio ni mwezi wa 12. Ukisikia kujifungulia nyumbani ndio hiyo sasa
😊
Ndo nlichowaambia wao walio fit wasipokua makini watawaponza wasiohusika
Wataponea wapi
Waangalie namana watavyoandamana na busara ikawaongoze
 
Bado lawama zinarudi kwa serikali. Wangeruhusu maandamano ya amani,na kuwapa escort waandamanaji. Uhalifu usingetokea au ungetokea kwa kiwango cha chini sana.
Shida hapa ni kwamba ukitoka tu serikali inapambana kukuumiza, ndo mana waandamanaji wanafanya wanayoyafanya ili kutoa hasira zao.
 
Uliona ni busara kwanza kuandamana siku ya uchaguzi mkuu?
 
Pande zote walikosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…