Mnaomponda Rais Magufuli mnakosea sana

Mnaomponda Rais Magufuli mnakosea sana

Mkafrend, hivi ni kweli watu wanampinga JPM kwa mambo yote? Hana mema anayofanya? Mimi binafsi naridhika na JapM ktk mambo mengi, lkn yapo machache ambayo simuungi mkono hadi atakapokubali kuwa siasa nayo ni kazi na kuruhusu uhuru wa kufanya siasa, na pia atakapokubali kuwa Zanzibar kuna tatizo kubwa na inampasa awakumbushe Wazanzibari kuwa wao ni wamoja, wakae na kusuluhisha tofauti zao.

Vv
 
Me lungumi tu ndo naona mfupa uliomshinda fisi na meno yake imara
 
Hujazungumzia meli ya wachina,mv Dar es salam,achilia hizo pangaboi sijui kama 10% haikuwepo
 
Mimi si mwana siasa lakini nionavyo hoja yako ni kama upinzani kazi yake ni hoja za barabara, ndege, na ufisadi tu. Hizo sio sababu za kuanzishwa mfumo wa upinzani na serkali ya Mwinyi. Serikali haikulenga waje kufanya hayo.

Kwani Marekani kuliko na barabara mpaka njia nane high way wapinzani hawapo?

Yako mengi kuliko unavyofikiri.
 
Ha, ha, ha, mwanaharakati njaa anaposafiria nyota ya mwanaharakati mwenzie (Polepole Humph) ili naye apate uDC. Huyu atajisumbua tu. Hivi huyu mwanaharakati njaa hajui kwamba baba Jesca kawaongopea wafanyakazi kwamba atawapa nyongeza ya mshahara na kuruhusu upandishaji wa madaraja kwa kipindi kisichozidi miezi miwili tangu mwezi June, na leo hii mishahara ya mwezi September ishatoka huku kiza kinene kikitanda kwenye akaunti za mishahara za watumishi hao? Viongozi wa awamu hii, wengi wao ni matapeli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tunataka vijana wenye uwezo wakudai haki yao,sio vijana wakusema kila kitu ndiooo bwana Mkubwa teh teh
 
Huyu mwandishi sijuhi kala maharagwe ya wapi tu...
1474658027147.jpg
ya....
 
Bora kunyamaza, unaweza kuambulia ban, au mahakama ukichangia hoja za hawa watu.
 
Mkuu Msakila napenda kuku rekebisha Vyama vya siasa havikuanza mwaka 1995 ,bali ni mwaka 1992 na mwanzilishi hakuwa A.L.Mrema bali walikuwa ni akina JAMES MAPALALA,MABERE NYAUCHO MARANDO,PRINCE BAGENDA,NDIMARA TEGAMBWAGE,BOB MAKANI,EDWIN MTEI,MASUMBUKO LAMWAI n k
 
Wanasumbuliwa na wivu.. sasa vichwa vyao vinasahau haraka ajabu, jana wanasema safari za nje hazifai leo wanataka rais aende nje, jana wanasema n aibu nchi haina ndege leo wanasema n mtumba na pangaboi, yaani hawana hoja tena, siku hizi wamebaki kuvizia rais kasema nn il wapate pa kusemea, siku akikaa kmya wiki nzima hutawaskia pia
NA wale mashehe waliowekwa ndani huu NI mwaka wa 4 kosa lao nini
 
Back
Top Bottom