Mnaomponda Rais Magufuli mnakosea sana

Mnaomponda Rais Magufuli mnakosea sana

WanaJf, salaam!
Ninapata wakati mgumu kuona humu JF watu wanaponda kila jambo alifanyalo Mhe. Dkt Magufuli - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama ni kundi linalounda vyama vya upinzani nchini hebu rejeeni mambo yafuatayo kisha njooni tuanze mjadala:
1. Wakati tunaanza vyama vingi vya siasa mwaka 1995 kundi la wapinzani likiundwa na Agoustino Lyatonga Mrema, Masumbuko Lamwai, Makongoro Nyerere, Ibrahimu Haruna Lipumba, n.k walipopanda majukwaa walinena kuwa nchi yetu haina barabara za lami - leo hii barabara zimekamilika (Sasa kwa nini msione kuwa serikali imefanya kazi kubwa kujenga barabara nchi nzima?);

2. Wakati Mhe. Dkt Magufuli ananunua ndege watu wameingia humu wakiwa na hangover wakiponda ndege hiyo - Sasa ndege hiyo imefika ndo uone jinsi kundi hilo linavyotumia ndege hizo kwa safari zao. Sasa ndege zimefika hapo hapo mnaanza oooo waandishi wamekataliwa, ooo mapanga (Jamani mbona leo tunateseka na wakwepa kodi wakiwemo viongozi wa juu wa vyama vya upinzani nchini?);

3. Miaka ya 2000 mkapata majukwaa agenda yenu kuu ilikuwa ufisadi na hapa wapinzania mlimwandama Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu) - na siku anatoka kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM kauli za viongozi na wanasiasa wa upinzani nchini zilimwandama Mhe. huyo kwa kumtaja kwenye kundi la MAFISADI wengine wakisema Nyangumi - sasa baada ya kupata rais msafi leo tena watu hao hao wanarudi kumsafisha PAPA na kumwandama Mhe Magufuli eti kwa kumuundia UKUTA;

4. Nimeenda mbali zaidi kutafakari kauli ya Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa akiwa jangwani wakati wa ufunguzi wa Kampeni za uchaguzi mkuu 2015 - hapo kwa hasira alitoa maneno watu hao hao watu wale wale wakaanza kusema eti kawatukana. Hivi kwa hali ya kawaida chama kumpokea mtu aliyekuwa awali anawekwa kwenye kundi chafu mara ghafla eti kwa kuwa amebadili chama ndiyo anakuwa msafi!!!! - EPUKENI AIBU HIZI!

5. Tena wakati wa serikali iliyomaliza muda wake mlinong'ona sana sana juu ya rais aliyekuwepo kuwa na safari za kwenda nje (Hapa mliweka mpaka data za ulinganishi na marais wengine). Sasa tumepata rais anayeamini kuwa mabalozi walioko nje wanafaa kutuwakilisha vema kimataifa hivyo amewapa mamlaka za kumwakilisha - hapa napo siku chache sana toka 2015 mmesahau na kuanza kupika majungu! - REJEENI SAFARI ZA RAIS 2012 - 2015;

6. Kuhusu watanzania kuhakikisha wanatumia muda mwingi katika kuzalisha kuliko kukaa vijiweni, kushinda kwenye mikutano ya kisiasa n.k Baada ya rais kutoa maelekezo kwa viongozi waandamizi mnaanza kukurupuka na kusema ooo mara rais ni Dikteta mpaka munaunda kundi lisilokuwa na kichwa wala miguu! HIVI MNGESHINDA 2015 MNGEPENDA KUTAWALA WATU WANAOSHINDA KTK MIKUTANO NA VIJIWE VYA KISIASA?

Kimsingi mambo ya kuongea ninayo mengi sana ila leo naishia hapa - UJUMBE

''MWACHENI RAIS WETU MHE. DKT. JOHN P. J. MAGUFULI ACHAPE KAZI ILI NCHI ISONGE MBELE KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII, KITEKNOLOJIA NA KIUCHUMI''

Msakila M. Kabende
MWANAHARAKATI - NIPINGE KWA HOJA BILA KUFICHA JINA TUJADILIANE KWEUPE!
Hivyo vipangaboy ndio vinakuzuzua? Mwl Nyerere alikuwa na Boeing 18, miaka 50 baada ya uhuru unaletewa vipangaboy vya mwaka 1987 unakenua!! Zuzu kwel..
 
Asa hiv kila mtu akiandika anamalizia na jina lake vipi Ndio mnamendea uteuzi wa LAPF nin!? Maana sio kwa sh. O. Bo hiz
 
Mkishikwa panapouma lazima muweweseke..kituko cha mwaka ndege imewasili haitakiwi kupigwa picha,wananchi tuamini kuwa ccm huwa inanunua vitu vibovu au vilivyokwisha tumika mfano kivuko,ndege zinazodaiwa ni mtumba..
 
WanaJf, salaam!
Ninapata wakati mgumu kuona humu JF watu wanaponda kila jambo alifanyalo Mhe. Dkt Magufuli - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama ni kundi linalounda vyama vya upinzani nchini hebu rejeeni mambo yafuatayo kisha njooni tuanze mjadala:
1. Wakati tunaanza vyama vingi vya siasa mwaka 1995 kundi la wapinzani likiundwa na Agoustino Lyatonga Mrema, Masumbuko Lamwai, Makongoro Nyerere, Ibrahimu Haruna Lipumba, n.k walipopanda majukwaa walinena kuwa nchi yetu haina barabara za lami - leo hii barabara zimekamilika (Sasa kwa nini msione kuwa serikali imefanya kazi kubwa kujenga barabara nchi nzima?);

2. Wakati Mhe. Dkt Magufuli ananunua ndege watu wameingia humu wakiwa na hangover wakiponda ndege hiyo - Sasa ndege hiyo imefika ndo uone jinsi kundi hilo linavyotumia ndege hizo kwa safari zao. Sasa ndege zimefika hapo hapo mnaanza oooo waandishi wamekataliwa, ooo mapanga (Jamani mbona leo tunateseka na wakwepa kodi wakiwemo viongozi wa juu wa vyama vya upinzani nchini?);

3. Miaka ya 2000 mkapata majukwaa agenda yenu kuu ilikuwa ufisadi na hapa wapinzania mlimwandama Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu) - na siku anatoka kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM kauli za viongozi na wanasiasa wa upinzani nchini zilimwandama Mhe. huyo kwa kumtaja kwenye kundi la MAFISADI wengine wakisema Nyangumi - sasa baada ya kupata rais msafi leo tena watu hao hao wanarudi kumsafisha PAPA na kumwandama Mhe Magufuli eti kwa kumuundia UKUTA;
4. Nimeenda mbali zaidi kutafakari kauli ya Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa akiwa jangwani wakati wa ufunguzi wa Kampeni za uchaguzi mkuu 2015 - hapo kwa hasira alitoa maneno watu hao hao watu wale wale wakaanza kusema eti kawatukana. Hivi kwa hali ya kawaida chama kumpokea mtu aliyekuwa awali anawekwa kwenye kundi chafu mara ghafla eti kwa kuwa amebadili chama ndiyo anakuwa msafi!!!! - EPUKENI AIBU HIZI!

5. Tena wakati wa serikali iliyomaliza muda wake mlinong'ona sana sana juu ya rais aliyekuwepo kuwa na safari za kwenda nje (Hapa mliweka mpaka data za ulinganishi na marais wengine). Sasa tumepata rais anayeamini kuwa mabalozi walioko nje wanafaa kutuwakilisha vema kimataifa hivyo amewapa mamlaka za kumwakilisha - hapa napo siku chache sana toka 2015 mmesahau na kuanza kupika majungu! - REJEENI SAFARI ZA RAIS 2012 - 2015;

6. Kuhusu watanzania kuhakikisha wanatumia muda mwingi katika kuzalisha kuliko kukaa vijiweni, kushinda kwenye mikutano ya kisiasa n.k Baada ya rais kutoa maelekezo kwa viongozi waandamizi mnaanza kukurupuka na kusema ooo mara rais ni Dikteta mpaka munaunda kundi lisilokuwa na kichwa wala miguu! HIVI MNGESHINDA 2015 MNGEPENDA KUTAWALA WATU WANAOSHINDA KTK MIKUTANO NA VIJIWE VYA KISIASA?

Kimsingi mambo ya kuongea ninayo mengi sana ila leo naishia hapa - UJUMBE

''MWACHENI RAIS WETU MHE. DKT. JOHN P. J. MAGUFULI ACHAPE KAZI ILI NCHI ISONGE MBELE KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII, KITEKNOLOJIA NA KIUCHUMI''

Msakila M. Kabende
MWANAHARAKATI - NIPINGE KWA HOJA BILA KUFICHA JINA TUJADILIANE KWEUPE!

Kwani hiyo miaka mengine ambayo mikutano ya kisiasa iliruhusiwa watu hawakufanya shughuli zozote za kiuchumi? Tunaomba data uprove kuwa wakati mikutano ya kisiasa imeruhusiwa watu walikuwa hawafanyi shughuli za kiuchumi badala yake walihudhuria mikutano ya kisiasa na uchumi ulirudi nyuma kwa asilimia hii, hapo tutakubaliana. Sababu hilo ni moja kati ya mapungufu ya huyo mheshima kabla hatuja taja kuzuia bunge live kwa vizingizio hivyo hivyo watu wafanye kazi au wapo mashambani muda wa bunge.
 
Ulitegemea asipondwe na mtu? Ni jambo la kawaida sana viongozi wa aina yoyote hasa wa nchi kupondwa na wasiokubaliana nae au anayoyafanya. Hasa ukizingatia kua ni kiongozi aliyepigiwa kura na kundi fulani na jengine lilimkataa. Usitegemee kua kila mtu atamsifia tu. Wako wanaomsifia na wanaomponda. Ndio maana ukiwa kiongozi unatakiwa uwe na sifa ya uvumilivu.
 
WanaJf, salaam!
Ninapata wakati mgumu kuona humu JF watu wanaponda kila jambo alifanyalo Mhe. Dkt Magufuli - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama ni kundi linalounda vyama vya upinzani nchini hebu rejeeni mambo yafuatayo kisha njooni tuanze mjadala:
1. Wakati tunaanza vyama vingi vya siasa mwaka 1995 kundi la wapinzani likiundwa na Agoustino Lyatonga Mrema, Masumbuko Lamwai, Makongoro Nyerere, Ibrahimu Haruna Lipumba, n.k walipopanda majukwaa walinena kuwa nchi yetu haina barabara za lami - leo hii barabara zimekamilika (Sasa kwa nini msione kuwa serikali imefanya kazi kubwa kujenga barabara nchi nzima?);

2. Wakati Mhe. Dkt Magufuli ananunua ndege watu wameingia humu wakiwa na hangover wakiponda ndege hiyo - Sasa ndege hiyo imefika ndo uone jinsi kundi hilo linavyotumia ndege hizo kwa safari zao. Sasa ndege zimefika hapo hapo mnaanza oooo waandishi wamekataliwa, ooo mapanga (Jamani mbona leo tunateseka na wakwepa kodi wakiwemo viongozi wa juu wa vyama vya upinzani nchini?);

3. Miaka ya 2000 mkapata majukwaa agenda yenu kuu ilikuwa ufisadi na hapa wapinzania mlimwandama Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu) - na siku anatoka kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM kauli za viongozi na wanasiasa wa upinzani nchini zilimwandama Mhe. huyo kwa kumtaja kwenye kundi la MAFISADI wengine wakisema Nyangumi - sasa baada ya kupata rais msafi leo tena watu hao hao wanarudi kumsafisha PAPA na kumwandama Mhe Magufuli eti kwa kumuundia UKUTA;

4. Nimeenda mbali zaidi kutafakari kauli ya Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa akiwa jangwani wakati wa ufunguzi wa Kampeni za uchaguzi mkuu 2015 - hapo kwa hasira alitoa maneno watu hao hao watu wale wale wakaanza kusema eti kawatukana. Hivi kwa hali ya kawaida chama kumpokea mtu aliyekuwa awali anawekwa kwenye kundi chafu mara ghafla eti kwa kuwa amebadili chama ndiyo anakuwa msafi!!!! - EPUKENI AIBU HIZI!

5. Tena wakati wa serikali iliyomaliza muda wake mlinong'ona sana sana juu ya rais aliyekuwepo kuwa na safari za kwenda nje (Hapa mliweka mpaka data za ulinganishi na marais wengine). Sasa tumepata rais anayeamini kuwa mabalozi walioko nje wanafaa kutuwakilisha vema kimataifa hivyo amewapa mamlaka za kumwakilisha - hapa napo siku chache sana toka 2015 mmesahau na kuanza kupika majungu! - REJEENI SAFARI ZA RAIS 2012 - 2015;

6. Kuhusu watanzania kuhakikisha wanatumia muda mwingi katika kuzalisha kuliko kukaa vijiweni, kushinda kwenye mikutano ya kisiasa n.k Baada ya rais kutoa maelekezo kwa viongozi waandamizi mnaanza kukurupuka na kusema ooo mara rais ni Dikteta mpaka munaunda kundi lisilokuwa na kichwa wala miguu! HIVI MNGESHINDA 2015 MNGEPENDA KUTAWALA WATU WANAOSHINDA KTK MIKUTANO NA VIJIWE VYA KISIASA?

Kimsingi mambo ya kuongea ninayo mengi sana ila leo naishia hapa - UJUMBE

''MWACHENI RAIS WETU MHE. DKT. JOHN P. J. MAGUFULI ACHAPE KAZI ILI NCHI ISONGE MBELE KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII, KITEKNOLOJIA NA KIUCHUMI''

Msakila M. Kabende
MWANAHARAKATI - NIPINGE KWA HOJA BILA KUFICHA JINA TUJADILIANE KWEUPE!

Baba, hao ni kama punda wa dobi yaani hawana moyo wala masikio, na kwa sababu sikio la kufa halina dawa WATAKUSHUKIA KAMA TANI YA MATOFALI, japo roho zinawasuta!
 
nimeanza kusoma tu ile kuona barabara nchi nzima nikajua we mgonjwa sio bure

nenda katavi kama utapata barabara ya lami kuunganisha na mkoa jirani. nilipita tabora ikabidi kwenda kupitia kigoma ndo kuingia katavi maana barabara ya tabora-katavi haipitiki msimu wa mvua. na iyo kupitia uvinza siku 2 uko njiani.

tembea mkuu uone, sio kweli kuwa nchi nzima kuna lami.
 
Halafu nimewaomba mjitokeze hadharani tujenge hoja na si kujificha katika vichaka vya karanga!
Kwamba wewe kwanini watu wanampinga huelewi basi taabu kweli kweli.
1. Kutuwekea bunge gizani kwako hamna noma siyo ?!
2. Kwako kuzuia wapinzani wake kufanya siasa ndani na nje poa tu ?!.
3. Kwako matamko hayo ya kibabe ni ya kiuongozi kweli au umependa kupita kiasi ?!
4. Mambo ni mengi mazuri anafanya lakini pia mengi si sawa nchi hii ni ya wote na sote ni wa kupita
 
Hivi ni mambo gani ambayo wengi wanampinga Rais?Hayawezi kufanyiwa kazi?
 
Mtoa post jipime kuwa unastahili kuwa humu:

Mosi, Kununua ndege sio agenda ya kitaifa.

Pili, Hakuna mtu aliyetoa fedha zake mfukoni, hizo ni pesa zetu walipa kodi.

Tatu, tuna haki ya kuhoji, kukosoa na kutoa maoni yetu kwa mujibu wa katiba.

Nne, kusifia au kukosoa ni hiyari yetu hakuna wa kutushurutisha kuwa tusifie pale wajibu unapotimizwa.

Tano, hakuna aliyezuia na anayeweza kumzuia Mkuu wa nchi kufanya kazi.

Sita, kazi ya upinzani ni kukosoa pale ambapo kuna upungufu.

Saba, Mahakama ya mafisadi tumesikia imeshaundwa, kila ambaye amefanya Ufisadi wowote ashughulikiwe kikamilifu bila kujali chama wala cheo.

Nane, Kazi ya upinzani sio kusifia Serikali.
 
Umesema ukweli kwa kiasi fulani lakini bahsti mbaya ukaamua kujitia upofu na kujidai huoni ya upande wa pili. Nakuambia hivi: rais ni binadamu, si Malaika, wala si Mungu. Wenzetu wanasema "to err is human ..."

Sitaki unafiki. Nasema wanaomsifia rais Magufuli na serikali kwa kila jambo ni wapotoshaji kwa kipimo sawa kabisa na wale wanaomkosoa kwa kila jambo. Tumepewa macho mawili ili moja liangalie mzuri ili yaendelezwe, na jingine mabaya ili yakomeshwe. Tujifunze kusema mambo kwenye mizani!
 
Kiukweli nawashangaa sana - inawezekana vipi kila alifanyalo liwe baya kwao?
Mbona watumia barabara alizosimamia? - Mbona wanapokea waliokuwa viongozi waliowadai ni wachafu sana? wamwache JPM arudishe heshima ya tanzania aisee!
Tatizo lenu nyie kijani mnafikiri kila kitu akifanyacho mwenyekiti tunampiga la hasha tunamkubali.
Ila tunachompinga aliposema siasa mpaka 2020 ili hali yy anafanya.
Kingine aliposimamisha ajira yaan hiki kitu nampinga mpaka keshokutwa yaan hapa alinikosea sana tena sana. Tena mnooooooooooooooooooooo duh '' msema kweli mpenzi wa Mungu hapa ndiyo alinitibua sana mpaka kesho kutwa.
Kingine ni kutokuwepo fao la kujitoa na ili uchukue fao lako lazima ufikishe miaka 55 hapa napo katukosea sana tena sana. Wenyew miaka 5 wanachukua mafao ss mpaka 55 nao wasubiri mpaka wafikishe miaka 55 km wanatupenda sana
 
Wewe unayetaka asifiwe tuu kama malaika una matatizo ya mawazo mungu anakuona na akusamehe tuu maana ungekuwa mwelewa ungetambua kua hata kuponda ni sehemu ya kukisaidia pia. Naona ungependa aitwe mungu afanyae yote lakini Yule binadamu na anamapungufu mengi tuu
 
WanaJf, salaam!
Ninapata wakati mgumu kuona humu JF watu wanaponda kila jambo alifanyalo Mhe. Dkt Magufuli - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama ni kundi linalounda vyama vya upinzani nchini hebu rejeeni mambo yafuatayo kisha njooni tuanze mjadala:
1. Wakati tunaanza vyama vingi vya siasa mwaka 1995 kundi la wapinzani likiundwa na Agoustino Lyatonga Mrema, Masumbuko Lamwai, Makongoro Nyerere, Ibrahimu Haruna Lipumba, n.k walipopanda majukwaa walinena kuwa nchi yetu haina barabara za lami - leo hii barabara zimekamilika (Sasa kwa nini msione kuwa serikali imefanya kazi kubwa kujenga barabara nchi nzima?);

2. Wakati Mhe. Dkt Magufuli ananunua ndege watu wameingia humu wakiwa na hangover wakiponda ndege hiyo - Sasa ndege hiyo imefika ndo uone jinsi kundi hilo linavyotumia ndege hizo kwa safari zao. Sasa ndege zimefika hapo hapo mnaanza oooo waandishi wamekataliwa, ooo mapanga (Jamani mbona leo tunateseka na wakwepa kodi wakiwemo viongozi wa juu wa vyama vya upinzani nchini?);

3. Miaka ya 2000 mkapata majukwaa agenda yenu kuu ilikuwa ufisadi na hapa wapinzania mlimwandama Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu) - na siku anatoka kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM kauli za viongozi na wanasiasa wa upinzani nchini zilimwandama Mhe. huyo kwa kumtaja kwenye kundi la MAFISADI wengine wakisema Nyangumi - sasa baada ya kupata rais msafi leo tena watu hao hao wanarudi kumsafisha PAPA na kumwandama Mhe Magufuli eti kwa kumuundia UKUTA;

4. Nimeenda mbali zaidi kutafakari kauli ya Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa akiwa jangwani wakati wa ufunguzi wa Kampeni za uchaguzi mkuu 2015 - hapo kwa hasira alitoa maneno watu hao hao watu wale wale wakaanza kusema eti kawatukana. Hivi kwa hali ya kawaida chama kumpokea mtu aliyekuwa awali anawekwa kwenye kundi chafu mara ghafla eti kwa kuwa amebadili chama ndiyo anakuwa msafi!!!! - EPUKENI AIBU HIZI!

5. Tena wakati wa serikali iliyomaliza muda wake mlinong'ona sana sana juu ya rais aliyekuwepo kuwa na safari za kwenda nje (Hapa mliweka mpaka data za ulinganishi na marais wengine). Sasa tumepata rais anayeamini kuwa mabalozi walioko nje wanafaa kutuwakilisha vema kimataifa hivyo amewapa mamlaka za kumwakilisha - hapa napo siku chache sana toka 2015 mmesahau na kuanza kupika majungu! - REJEENI SAFARI ZA RAIS 2012 - 2015;

6. Kuhusu watanzania kuhakikisha wanatumia muda mwingi katika kuzalisha kuliko kukaa vijiweni, kushinda kwenye mikutano ya kisiasa n.k Baada ya rais kutoa maelekezo kwa viongozi waandamizi mnaanza kukurupuka na kusema ooo mara rais ni Dikteta mpaka munaunda kundi lisilokuwa na kichwa wala miguu! HIVI MNGESHINDA 2015 MNGEPENDA KUTAWALA WATU WANAOSHINDA KTK MIKUTANO NA VIJIWE VYA KISIASA?

Kimsingi mambo ya kuongea ninayo mengi sana ila leo naishia hapa - UJUMBE

''MWACHENI RAIS WETU MHE. DKT. JOHN P. J. MAGUFULI ACHAPE KAZI ILI NCHI ISONGE MBELE KWA MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII, KITEKNOLOJIA NA KIUCHUMI''

Msakila M. Kabende
MWANAHARAKATI - NIPINGE KWA HOJA BILA KUFICHA JINA TUJADILIANE KWEUPE!
Naona umeweka na jina kamili ili usikose uteuzi.kazana Mzee bado hajakamilisha safu yake
 
Kiukweli nawashangaa sana - inawezekana vipi kila alifanyalo liwe baya kwao?

mbelee-jpg.404619

Hauko peke yako, hata mimi nashangaa sana - inawezekana vipi kila alifanyalo liwe zuri kwenu?​
 
kwa hiyo wanaomsifia ndio wako sahihi?nilidhani umeandika mambo ya msingi kama GT,kumbe ushabaki wa kip.mbavu na mahaba niue ulonayo...VIHIYO ni wengi,asante kwa kuitimiliza 61%.
 
yaan kulingana na uharo uloandika,nimektafakari na kukfananisha na ktu gan katika mwil wa mwanadamu,nikaona ni sawa na "kwapa"kazi yake n ktoa jasho na kuchafua nguo..ungekuwa ni ugonjwa basi ningekufananisha na kansa ya damu.mijitu hii bwana bongo 0
 
Back
Top Bottom