GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wiki iliyopita nilileta mada kuhusu matumaini hewa waliyojipa watu kutokana na ile video ya mtu aliyejiita Kapteni Tesha.

As time passes by, those sentiments will age like fine wine.

On the contrary, the sentiments of those who ridiculed me, dismissed me, abused me, etc., are aging like organic whole milk 😀.

Kwa taarifa yenu, kama mlikuwa hamjui, wanajeshi wa Tanzania hawana tofauti na raia wa Tanzania.

Haya sasa kumbe hata huyo kiongozi wao naye ana tuhuma za ufisadi.

Hao ndo mnawategemea wawe upande wa wananchi?

Hawa wanajeshi ambao huwa wanawapiga raia with impunity kama vile raia ndo maadui zao, ndo mnawategemea wawe upande wa raia?

Hao mimi sidhani kama kuna chochote kinachowakera nchi hii.

Mimi naona yote yanayotokea wao wanaona ni sawa tu.

Ni suala la kuwaonjesha asali kidogo tu, basi.

Sasa kama tayari na wao wana tuhuma za ufisadi, nyie mnatarajia nini kutoka kwao?

Najua hampendi kuambiwa ukweli. Ila ukweli ni ukweli tu hata muukatae, utabaki kuwa ni ukweli tu.

JWTZ haliwezi kuwageuka CCM. Wanaoonjeshwa asali hawawezi wakamgeuka anayewaonjesha hiyo asali.

Once again, my words will age like fine wine.

Whereas, your frustrations will age like Maple Hill organic whole milk.

Watch this space……
Kwenye masuala kama haya, mara nyingi, top generals sio watu wa kutegemewa. They’re bloated and compromised!

Shakers and movers ni junior officers. Hawa ndio hufanya planning and execution ya military takeover of government.
 
Hao maofisa wa ngazi za chini wa JWTZ una imani nao kwamba wanaweza kufanya chochote kweli?
 
If they tried before, they can try again!

JWTZ at least imewahi kuwa na watoto wa kiume. Sijui kama bado inao. These brave men tried it (albeit unsuccessfully) in 1982: Capt. Mohamed Tamimu (Commando Tamimu), Capt. Hatibu Gandhi (Hatty McGhee), Capt. Christopher Kadego, Lt Eugene Maganga, Capt. Methuselah Suleiman Kamando, Capt. Vitalis Mapunda, Capt. Roderic Roberts, Lt. John Chitunguli, Lt. Mark Mkude, Capt. Oswald Mbogoro, Capt. Zacharia Hans Pope, Lt. Badru Kajaje, Lt. Gervas Rweyongeza, Lt. Otmar Haule, Lt. Nimrod Faraji.
 
Wiki iliyopita nilileta mada kuhusu matumaini hewa waliyojipa watu kutokana na ile video ya mtu aliyejiita Kapteni Tesha.

As time passes by, those sentiments will age like fine wine.

On the contrary, the sentiments of those who ridiculed me, dismissed me, abused me, etc., are aging like organic whole milk 😀.

Kwa taarifa yenu, kama mlikuwa hamjui, wanajeshi wa Tanzania hawana tofauti na raia wa Tanzania.

Haya sasa kumbe hata huyo kiongozi wao naye ana tuhuma za ufisadi.

Hao ndo mnawategemea wawe upande wa wananchi?

Hawa wanajeshi ambao huwa wanawapiga raia with impunity kama vile raia ndo maadui zao, ndo mnawategemea wawe upande wa raia?

Hao mimi sidhani kama kuna chochote kinachowakera nchi hii.

Mimi naona yote yanayotokea wao wanaona ni sawa tu.

Ni suala la kuwaonjesha asali kidogo tu, basi.

Sasa kama tayari na wao wana tuhuma za ufisadi, nyie mnatarajia nini kutoka kwao?

Najua hampendi kuambiwa ukweli. Ila ukweli ni ukweli tu hata muukatae, utabaki kuwa ni ukweli tu.

JWTZ haliwezi kuwageuka CCM. Wanaoonjeshwa asali hawawezi wakamgeuka anayewaonjesha hiyo asali.

Once again, my words will age like fine wine.

Whereas, your frustrations will age like Maple Hill organic whole milk.

Watch this space……
Nadhani swali la muhimu ni kwanini watu wanapenda kuiga na kusifia siasa za Kenya, lakini hawataki ona upinzani wa Kenya haujawahi fikiria wa kuwaza kupata msaada wa vyombo vya ulinzi? Wao wana shida gani ktk hoja zao mpaka waone majeshi ndio njia sahihi ya kufikia malengo yao?
 
Jeshi (JWTZ) linawalinda wananchi dhidi ya kuvamiwa na majeshi ya nje, linalinda mipaka.

Idi Amin alipovamia Tanzania Jeshi lilikuwa na wajibu wa kuilinda nchi, kuwalinda Watanzania.

Kazi ya kulinda usalama wa raia ndani ya nchi ni kazi ya Polisi.

Ndiyo maana ukivamiwa na majambazi nyumbani kwako unaenda Polisi, huendi JWTZ.
Asa kama watu wanatekwa,kuuawa na kupotezwa ndani ya nchi kwanini tusiombe wa nje wajr kutulinda
 
Wiki iliyopita nilileta mada kuhusu matumaini hewa waliyojipa watu kutokana na ile video ya mtu aliyejiita Kapteni Tesha.

As time passes by, those sentiments will age like fine wine.

On the contrary, the sentiments of those who ridiculed me, dismissed me, abused me, etc., are aging like organic whole milk 😀.

Kwa taarifa yenu, kama mlikuwa hamjui, wanajeshi wa Tanzania hawana tofauti na raia wa Tanzania.

Haya sasa kumbe hata huyo kiongozi wao naye ana tuhuma za ufisadi.

Hao ndo mnawategemea wawe upande wa wananchi?

Hawa wanajeshi ambao huwa wanawapiga raia with impunity kama vile raia ndo maadui zao, ndo mnawategemea wawe upande wa raia?

Hao mimi sidhani kama kuna chochote kinachowakera nchi hii.

Mimi naona yote yanayotokea wao wanaona ni sawa tu.

Ni suala la kuwaonjesha asali kidogo tu, basi.

Sasa kama tayari na wao wana tuhuma za ufisadi, nyie mnatarajia nini kutoka kwao?

Najua hampendi kuambiwa ukweli. Ila ukweli ni ukweli tu hata muukatae, utabaki kuwa ni ukweli tu.

JWTZ haliwezi kuwageuka CCM. Wanaoonjeshwa asali hawawezi wakamgeuka anayewaonjesha hiyo asali.

Once again, my words will age like fine wine.

Whereas, your frustrations will age like Maple Hill organic whole milk.

Watch this space……

Umesema kweli kabisa na la kusikitisha wakati wanajeshi wa Tanganyika walitumiwa kumteka Jecha huku Zanzibar wengi humu walikuwa wakicheka na kufurahi . Wakati Jeshi limetumiwa kupiga watu likishirikiana na jeshi la Burundi hapa Zanzibar mwaka 2020 watu walikuwa kimya . Kwa hivyo usitegemee jeshi kufanya chochote huko Tanganyika , na wao wamezee tu
 
Una ambiwa chief wa kike kawapandisha mshahara mara tatu tatu km motisha ya kudeal na watu watakao kengeuka tar 29
 
Wanajeshi wanao lambishwa asali ni Wale wajuu kabisa, Hawa wachini wote ni njaa tu kama sisi.

Uzuri tunaishi nao mtaani nao wanalalamika tu kama sisi.

Kama raia watachukua hatua, lazima kuna vikosi vitaungana nao tu
Lawana nyingi kama sisi wapiga kura tu
 
Tangu jeshi letu lilivyojiingiza kwenye mgogoro wa mashariki ya Congo na kuzingirwa kiboya na M23, hatimaye kutekwa kabisa... Sina imani kabisa na JWTZ.
Jeshi limetekwa kisiasa na kuacha kabisa majukumu yao ya msingi, ni kiashirio kuwa hata amri zinazotolewa na kutekelezwa na askari wapiganaji zina mkanganyiko!.
Silioni tena lile jeshi lililozima shambulizi la Iddi Amin mwaka 1970 au lile lililomng'oa Idd Amin miaka kumi baadaye. 😇
Kiufuo hatunab jeshi wala TISS. Jeshi gani linapigwa na M23 mpaka captain anarudi njia ya Rwanda anakaguliwa na polisi. TISS gani badala ya kumshauri rais mnachukua order na kufanya anachotaka. TISS inatakiwa impe taarifa rais halafu ime options ya nini kifanyike na sio kuchukua order.
 
Back
Top Bottom