GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watu kibao humu wamelitaka jeshi lichukue nchi!

What rock are you living under?
Ni kapteni Tesha na siyo Mosha. Anyways.. Hicho chuo cha anga cha kijeshi aliko kapteni Tesha na ile kambi ya Airwing, Ukonga, unaweza kuweza kabisa ni sehemu korofi tangu zamani. Ni kwa sababu tu imekuwa hizi ni zama za Internet, lakini kwa wanajua ile kambi hii siyo mara ya kwanza kwa wanajeshi kutoa kauli korofi za kuitisha serikali. Hata kipindi cha Nyerere kuna marubani wanajeshi wa hiyo kambi walitoroka na ndege ndogo za kijeshi, hizi za kubeba wanajeshi. Kwa kifupi ile kambi inajulikana kwa kutoa matamko ya kutikisa watawala. Zamani walikuwa wanaandika barua za siri au wanafikisha ujumbe wao kwa siri na wengine moja kwa moja bila kuogopa. Kuhusu jeshi kuchukuwa nchi, kwangu mimi nadhani bila wananchi kuanza kukinukisha ni vigumu sana japo kuna wanajeshi wengi wanakerwa na serikali ya Samia, lakini inatakiwa wananchi watoke kwa wingi ili wawape support.
 
Kwa hiyo unadhani hilo linawezekana hapa Tanzania?
Hata mimi kusema ukweli japo Samia ameharibu sana na anachukiwa na wengi mimi sioni akiondolewa siku za karibuni, na sababu ni moja: Mikakati yote anafanya Kikwete, mtu ambaye amewahi kuwa rais, na baadae ''akajifunza'' mengi kutoka kwa utawala wa Magufuli. Mipango yote ya kupanga safu na loyalist wa regime inafanywa na Kikwete. Naweza kusema kwa uhakika kuwa angekuwa ni Samia peke yake, wala asigombea tena kipindi hiki na asingekuwa na uwezo wa kutengeneza mambo kama sasa hivi.
 
Atleast iko sawa kuliko Afya,polisi na Walimu ...nasikia asiyekua na cheo chochote anapewa zaidi ya 900k.

Humu wanajeshi wapo watatusaidia
MShahara ni siri ya mtu, acheni kujadili mambo msiyoyajua.
 
Halafu Wakenya wakisema Watanzania ni vilaza mnakuja juu kama moto wa kifuu. Ila leo mko hapa kukiri u-kilaza mlionao, asanteni sana. Siku nyingine msilete ubishi wenu.
 
Ni kweli. Ila karibu wote hao wa chini ni vilaza mno.
Hii ni dharau kubwa sana kwa wapiganaji wetu. Unawezaje kuwaita wanajeshi wetu vilaza? Pamoja na kwamba katika jamii yoyote au kusanyiko lolote la binadamu, vilaza wachache hawawezi kukosekana. Kwa hiyo kuwepo kwa vilaza wachache isikufanye wewe kuwaita kuita kusanyiko lote vilaza.
Tafadhali tengua kauli yako
 
Wiki iliyopita nilileta mada kuhusu matumaini hewa waliyojipa watu kutokana na ile video ya mtu aliyejiita Kapteni Mosha.

As time passes by, those sentiments will age like fine wine.

On the contrary, the sentiments of those who ridiculed me, dismissed me, abused me, etc., are aging like organic whole milk 😀.

Kwa taarifa yenu, kama mlikuwa hamjui, wanajeshi wa Tanzania hawana tofauti na raia wa Tanzania.

Haya sasa kumbe hata huyo kiongozi wao naye ana tuhuma za ufisadi.

Hao ndo mnawategemea wawe upande wa wananchi?

Hawa wanajeshi ambao huwa wanawapiga raia with impunity kama vile raia ndo maadui zao, ndo mnawategemea wawe upande wa raia?

Hao mimi sidhani kama kuna chochote kinachowakera nchi hii.

Mimi naona yote yanayotokea wao wanaona ni sawa tu.

Ni suala la kuwaonjesha asali kidogo tu, basi.

Sasa kama tayari na wao wana tuhuma za ufisadi, nyie mnatarajia nini kutoka kwao?

Najua hampendi kuambiwa ukweli. Ila ukweli ni ukweli tu hata muukatae, utabaki kuwa ni ukweli tu.

JWTZ haliwezi kuwageuka CCM. Wanaoonjeshwa asali hawawezi wakamgeuka anayewaonjesha hiyo asali.

Once again, my words will age like fine wine.

Whereas, your frustrations will age like Maple Hill organic whole milk.

Watch this space……
Poor analysis!

Unatakiwa ufahamu kuwa katika jamii yoyote, usitarajie watu wote watakuwa sawa na kukubaliana katika kila jambo.

Kuwepo kwa fisadi mmoja au hata 10 ndani ya jeshi, hakuweza kulifanya jeshi zima kuwa la mafisadi. Kuwepo kwa wanajeshi wanaounga mkono udhulumati wa CCM dhidi ya wananchi, haimaanishi wote wanaunga mkono dhuluma hizo.

Kwa vyovyote watakuwepo wanajeshi wanaonufaika na dhuluma wanazofanyiwa wananchi, lakini haiwezekani kuwa ni wananeshi wote.

Andiko lako lote limekosa content, limejaa blahblah.

Kilicho dhahiri ni kwamba wapo wanajesi wasiopendezwa na yanayoendelea, lakini wapo wanajeshi ambao ni sehemu ya watawala, ambao wapo tayari kuunga mkono chochote watawala watakacho, kiwe kibaya au kizuri kwa sababu wao wapo kwaajili ya kujinufaisha kuliko ulinzi wa Taifa.
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua

Share na mwenzako
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia fulani ,mimi naona ili jeshi lisaidie wananchi ni mpaka pale serikali itakaposhindwa kuwalipa mshahara na marupurupu yao,wakipata huo mbinyo kesho utawaona magogoni pale.

Jeshi lili muhasi Nyerere akaenda kujifisha Mashimoni, Sembuse Nani sasa?

They just need the right course.
 
Wanajeshi wanao lambishwa asali ni Wale wajuu kabisa, Hawa wachini wote ni njaa tu kama sisi.

Uzuri tunaishi nao mtaani nao wanalalamika tu kama sisi.

Kama raia watachukua hatua, lazima kuna vikosi vitaungana nao tu
Raia wapi wenye uthubutu huo. Hawahawa wanaotishwa na mazoezi ya kukimbia?
 
Wiki iliyopita nilileta mada kuhusu matumaini hewa waliyojipa watu kutokana na ile video ya mtu aliyejiita Kapteni Mosha.

As time passes by, those sentiments will age like fine wine.

On the contrary, the sentiments of those who ridiculed me, dismissed me, abused me, etc., are aging like organic whole milk 😀.

Kwa taarifa yenu, kama mlikuwa hamjui, wanajeshi wa Tanzania hawana tofauti na raia wa Tanzania.

Haya sasa kumbe hata huyo kiongozi wao naye ana tuhuma za ufisadi.

Hao ndo mnawategemea wawe upande wa wananchi?

Hawa wanajeshi ambao huwa wanawapiga raia with impunity kama vile raia ndo maadui zao, ndo mnawategemea wawe upande wa raia?

Hao mimi sidhani kama kuna chochote kinachowakera nchi hii.

Mimi naona yote yanayotokea wao wanaona ni sawa tu.

Ni suala la kuwaonjesha asali kidogo tu, basi.

Sasa kama tayari na wao wana tuhuma za ufisadi, nyie mnatarajia nini kutoka kwao?

Najua hampendi kuambiwa ukweli. Ila ukweli ni ukweli tu hata muukatae, utabaki kuwa ni ukweli tu.

JWTZ haliwezi kuwageuka CCM. Wanaoonjeshwa asali hawawezi wakamgeuka anayewaonjesha hiyo asali.

Once again, my words will age like fine wine.

Whereas, your frustrations will age like Maple Hill organic whole milk.

Watch this space……
Kwa mbali nakubaliana na wewe kabisa maana wanajeshi maafisa wakiistaafu tu wanateuliwa kuwa Wakurugenzi sehemu mbalimbali na rais wa nchi kwa hali hiyo hawawezi kufanya kitu isitoshe wao kazi yao ni Ulinzi wa mipaka yetu tu mambo ya humu ndani hayawahusu!!
 
Back
Top Bottom