GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,063
Reaction score
136,426
Wiki iliyopita nilileta mada kuhusu matumaini hewa waliyojipa watu kutokana na ile video ya mtu aliyejiita Kapteni Tesha.

As time passes by, those sentiments will age like fine wine.

On the contrary, the sentiments of those who ridiculed me, dismissed me, abused me, etc., are aging like organic whole milk 😀.

Kwa taarifa yenu, kama mlikuwa hamjui, wanajeshi wa Tanzania hawana tofauti na raia wa Tanzania.

Haya sasa kumbe hata huyo kiongozi wao naye ana tuhuma za ufisadi.

IMG_8479.png

Hao ndo mnawategemea wawe upande wa wananchi?

Hawa wanajeshi ambao huwa wanawapiga raia with impunity kama vile raia ndo maadui zao, ndo mnawategemea wawe upande wa raia?

Hao mimi sidhani kama kuna chochote kinachowakera nchi hii.

Mimi naona yote yanayotokea wao wanaona ni sawa tu.

Ni suala la kuwaonjesha asali kidogo tu, basi.

Sasa kama tayari na wao wana tuhuma za ufisadi, nyie mnatarajia nini kutoka kwao?

Najua hampendi kuambiwa ukweli. Ila ukweli ni ukweli tu hata muukatae, utabaki kuwa ni ukweli tu.

JWTZ haliwezi kuwageuka CCM. Wanaoonjeshwa asali hawawezi wakamgeuka anayewaonjesha hiyo asali.

Once again, my words will age like fine wine.

Whereas, your frustrations will age like Maple Hill organic whole milk.

Watch this space……
 
Mambo yana badilika mzee Samia ni worse kupitiliza hata jeshi linaweza pia kujitenga dhidi ya upuuzi wake na kuunga mkono mabadiliko.

Mara nyingi napenda kutumia mfano wa Jiang Qing kwa sababu unafanana na utawala wa Samia moja ya taasisi ilishiriki anguko la Jiang Qing na utawala wake ni jeshi la China mind you nchi za kikomunisti kufika point jeshi kujitenga nawe ujue umevuka kipimo.
 
Ikiwa hivyo ushauri wako ni upi hapo zaidi ya kuwa wewe kuwa sehemu ya tatizo??

Waache Watz na nchi yao tar 29 ni muhimu sana kwao. Njiti moja ya kibiriti hutosha kuunguza msitu. Kinachohitajika ni nguvu kidogo tu. Tar 29 ni sawa na kulipormosha gari lililoegeshwa mlimani. Nguvu kidogo tu (initial energy).
 
Mambo yana badilika mzee Samia ni worse kupitiliza hata jeshi linaweza pia kujitenga dhidi ya upuuzi wake na kuunga mkono mabadiliko.

Mara nyingi napenda kutumia mfano wa Jiang Qing kwa sababu unafanana na utawala wa Samia moja ya taasisi ilishiriki anguko la Jiang Qing na utawala wake ni jeshi la China mind you nchi za kikomunisti kufika point jeshi kujitenga nawe ujue umevuka kipimo.
I’ll believe it when I see it.

Until then, hamna kitu hapo.

Bila maandamano kama yale ya Tahrir Square, hakuna kitachobadilika.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia fulani ,mimi naona ili jeshi lisaidie wananchi ni mpaka pale serikali itakaposhindwa kuwalipa mshahara na marupurupu yao,wakipata huo mbinyo kesho utawaona magogoni pale.
HIV kwani wanajeshi wa Tanzania mishahara yao ikoje ukilinganisha na wafanyakazi wa sekta zingine?
 
Nani kakwambia watz tunategemea jeshi ili kujikomboa? Kwa taarifa yako watz wakiamka kudai ukombozi dhidi ya hii serikali ya ufisadi hakuna wa kuwazuia. Ni kwamba tu ccm bado imeshikilia vichwa vingi vya watz wasio jua lolote linaloendelea katika nchi yao.
 
Uko sahihi mtoa mada kama wanajeshi wanaambiwa wafanye usafi siku ya maandamano ya amani na jeshi wanakubali lengo ni kuzuia maandamano indirectly.
Kwa Tanzania tusubiri labda miaka 100 ijayo tukiwa hatupo
Imagine wanajeshi wanaambiwa wafanye usafi ilhali tuna magereza yenye wafungwa tele!

Hapo lengo la watawala ni kuwatisha wananchi kupitia hilo linaloitwa jeshi la wananchi!

The irony.

Dumb bastards.
 
Nani kakwambia watz tunategemea jeshi ili kujikomboa? Kwa taarifa yako watz wakiamka kudai ukombozi dhidi ya hii serikali ya ufisadi hakuna wa kuwazuia. Ni kwamba tu ccm bado imeshikilia vichwa vingi vya watz wasio jua lolote linaloendelea katika nchi yao.
Watu kibao humu wamelitaka jeshi lichukue nchi!

What rock are you living under?
 
I’ll believe it when I see it.

Until then, hamna kitu hapo.

Bila maandamano kama yale ya Tahrir Square, hakuna kitachobadilika.
Unajua nchi za namna ya Tanzania zinaweza fanya mabadiliko bila hata maandamano ya namna hio mtu anaweza tolewa ikulu kwa kikao cha kimkakati hii ilimkuta Jiang Qing na genge lake na wakaishia jela wanaelekeana kabisa na Samia na genge lake
 
Kwa hiyo unadhani hilo linawezekana hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom