Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako wangelikuwa kama wewe ungezaliwa kweli hasa hasa nyie watoto wa kike hamjui kuna kuingia menopause shauri yenu mtabaki kutamani na kubeba watoto wa wenzenu, mmebaki na kazi ya kupaka wanja na kujishebedua mjini na hivyo vimkweche vyenu endeleeni kuiga wazungu.