Mnaokataa kuolewa/kuoa mna ajenda gani ya siri.

Mhhhhh!
Jiwe limetupwa gizani na limenipata barabara!

Kuolewa is a good thing ukimpata mnaeendana na ukirizika! But kama huna uhakika why untanie Mola na junuharibia hubby maisha? Its never abt what u selfishly want rather
What you both want at the same time.
About watoi its very selfish kuzaa wakati huna maisha ya kumpa huyo mtoto!!! Mambo ya mtoto anakuja na riziki yake ni outdated.

personaly kwa rehema za Mungu I'll have just 1 kid afu nampa best of life. Untill nikiwa na hayo maisha natumia nyota ya blue kama sio pink!

mweee!!! me mtoto mmoja hapana aisee!!!!
kisa cha kuishi roho juu!!!!! akiumwa unawaza nusu ya kufa.
mi wawili au watatu, ili mmoja akizingua, wengine wanakuepo.
 
Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako wangelikuwa kama wewe ungezaliwa kweli hasa hasa nyie watoto wa kike hamjui kuna kuingia menopause shauri yenu mtabaki kutamani na kubeba watoto wa wenzenu, mmebaki na kazi ya kupaka wanja na kujishebedua mjini na hivyo vimkweche vyenu endeleeni kuiga wazungu.

njoooo utuoe wewe!
Huku njiani tunakutana na mapakashume tu na waliooa tayari.
 
Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako wangelikuwa kama wewe ungezaliwa kweli hasa hasa nyie watoto wa kike hamjui kuna kuingia menopause shauri yenu mtabaki kutamani na kubeba watoto wa wenzenu, mmebaki na kazi ya kupaka wanja na kujishebedua mjini na hivyo vimkweche vyenu endeleeni kuiga wazungu.

Waowaji wenyewe wako wapi?
 
mkeo kashakutoa kifungoni au bado uko probation kwenda ugenini??
Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako wangelikuwa kama wewe ungezaliwa kweli hasa hasa nyie watoto wa kike hamjui kuna kuingia menopause shauri yenu mtabaki kutamani na kubeba watoto wa wenzenu, mmebaki na kazi ya kupaka wanja na kujishebedua mjini na hivyo vimkweche vyenu endeleeni kuiga wazungu.
 
Wewe kweli umeongea point 'Broad casted'! na ma intaneti haya basi watu wanakuwa waooooga...Mama yangu hakuwa na uwezo wa kutumia keyboard kuomba ushauri; lakini haina maana kuwa hakuwa na matatizo....matatizo hayajaanza leo; challenge ni part ya maisha; na ziko kote si kwenye ndoa peke yake...

Kwani anasema uongo? Kijana kasema point c kwamba kalazimishwa, c kwamba yashampata. Mnasingizia ndoa za ck hiz no majanga mbona hata zaman majanga yalikuwepo tuu sema hayakuwa broad casted kama ck hzi. Acha woga kaoe/ kaoelewe.
 
hakika mi nakwambia, tamaa ya ngono! anataka awe na yule huyu, hakuna jipya hapo, hawariziki hata kidogo, ataoa yupi aache yupi? Woote anataka aonje, we waulize
 
Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako wangelikuwa kama wewe ungezaliwa kweli hasa hasa nyie watoto wa kike hamjui kuna kuingia menopause shauri yenu mtabaki kutamani na kubeba watoto wa wenzenu, mmebaki na kazi ya kupaka wanja na kujishebedua mjini na hivyo vimkweche vyenu endeleeni kuiga wazungu.

Haemaphrodite unawajua lakini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom