Mnaokataa kuolewa/kuoa mna ajenda gani ya siri.

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,817
11,485
Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako wangelikuwa kama wewe ungezaliwa kweli hasa hasa nyie watoto wa kike hamjui kuna kuingia menopause shauri yenu mtabaki kutamani na kubeba watoto wa wenzenu, mmebaki na kazi ya kupaka wanja na kujishebedua mjini na hivyo vimkweche vyenu endeleeni kuiga wazungu.
 
Una point ila nahisii kama una joto hasira na wanawake!khaa siyo wote bana wenye hzo tabia..afu kingne ndugu yangu kuolewa ni bahati ya mtu hata uwe kapuku au tajiri sawa eh!!
 
Tatizo lako nini?

Ndoa zenyewe majanga siku hizi.

Shurti mtu unajinafasi unavyotaka, hakuna wa kukuuliza, ya nini kulazimishana?
 
waambieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...........ukizima taa ukarusha jiwe ukisikia yala ujue lishampata. yan ukisikia mtu analalamika ujue lishampata .

mimi nimepanga kuoa mwakani. nitakuwa na 28
 
Unialike tu nije kula ubabwa....
 
Mimi ni mjumbe nimetumwa muoe jamani umri unaenda au mnataka watoto wawe wanawaita bibi/babu shauri yenu.
 
Kwani anasema uongo? Kijana kasema point c kwamba kalazimishwa, c kwamba yashampata. Mnasingizia ndoa za ck hiz no majanga mbona hata zaman majanga yalikuwepo tuu sema hayakuwa broad casted kama ck hzi. Acha woga kaoe/ kaoelewe.
 
Kuoa + kuzaa!
Kama kuna mkanganyiko vile!
...
Hauwezi kumlaumu mtu hajaolewa! Labda umlaumu kwa nini kakataa kuolewa!!
...
Mashaxizo nimezeeka sana! Eti jamen mtu lazima aolewe/aoe ndio azae?
 
Utazaa bila ndoa huoni hiyo ni zinaa.
 
Siku hiz hakuna mapenzi haina haja ya mtu kukimbilia kuolewa/kuoa watu wote matapeli wa mapenzi
 
Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako wangelikuwa kama wewe ungezaliwa kweli hasa hasa nyie watoto wa kike hamjui kuna kuingia menopause shauri yenu mtabaki kutamani na kubeba watoto wa wenzenu, mmebaki na kazi ya kupaka wanja na kujishebedua mjini na hivyo vimkweche vyenu endeleeni kuiga wazungu.

kwenye bold: uliwauliza wakakwambia hawataki kuoa/kuolewa?
kwenye red: inaonekana hujajua sababu za wao kuwa bado single. badala ya kuwarushia hayo masimango, ungewatafuta ukawauliza ili uwape mtazamo wako waoe/waolewe.
 
Mhhhhh!
Jiwe limetupwa gizani na limenipata barabara!

Kuolewa is a good thing ukimpata mnaeendana na ukirizika! But kama huna uhakika why untanie Mola na junuharibia hubby maisha? Its never abt what u selfishly want rather
What you both want at the same time.
About watoi its very selfish kuzaa wakati huna maisha ya kumpa huyo mtoto!!! Mambo ya mtoto anakuja na riziki yake ni outdated.

personaly kwa rehema za Mungu I'll have just 1 kid afu nampa best of life. Untill nikiwa na hayo maisha natumia nyota ya blue kama sio pink!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom