Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,311
- 7,795
Sikujua kama kahama mjini kiwanja kinafika bei ya bilioni moja.Kahama mjini watu wana nunua kiwanja bilioni na madalali ujajua hesabu yao.
Wezi na majizi wamekuwa ka kasi yani leo ardhi yenye madini ni ndogo kuliko kununua nyumba sehemu kuna biashara
Kwasisi tuliozaliwa maisha ya kimaskini, safari ni ndefu broo.Nikionaga post za madalali instagram nachanganyikiwa kabisa, inshaalah one day ngoja nizid kuchakalika.
Nimejenga Mbweni na pesa za talaka za ex bilionea 🤣Sidhani kama kuna mfanyakazi wa local government kwenye hii mitaa, oi watu wana hela Dah,
Watu wamepambana kweli kweli sio mchezo, huko sidhani kama ardhi/kiwanja mtu anaweza kupata chini ya million 30.
Mfano capripoint Mwanza, juzi nilikua na mwanasheria mmoja akanambia kafunga mkataba wa mauziano million 400 kiwanja,
Tutafute hela tutakapoishia ni hapo hapo, ila tutafute hela.
View attachment 3274377
Mimi huo ni mshahara wangu miaka 6 boss.Prakatatumba ababababa.. mil 30 njoo nikupe eneo hapa kibaha kwa dasalama utaumia.
Kiwanja cha m4 tu chanika unalipa miaka miwili 😂😂😂 life is not fair dah!Kwasisi tuliozaliwa maisha ya kimaskini, safari ni ndefu broo.
Capripoint mbona maskin wapo tena na wavuvi choka mbaya wapo.. au ww unaongelea capripoint ipi?Sidhani kama kuna mfanyakazi wa local government kwenye hii mitaa, oi watu wana hela Dah,
Watu wamepambana kweli kweli sio mchezo, huko sidhani kama ardhi/kiwanja mtu anaweza kupata chini ya million 30.
Mfano capripoint Mwanza, juzi nilikua na mwanasheria mmoja akanambia kafunga mkataba wa mauziano million 400 kiwanja,
Tutafute hela tutakapoishia ni hapo hapo, ila tutafute hela.
View attachment 3274377
Useme vitengo vyao.Chaajabu nyumba nyingi za mbweni nizawafanyakazi wa serikali itakuwa siku hizi serikali unalipa wafanyakazi wake mishahara mikubwa sana
Ooh nafikia juu, sijawahi kuingia ndani.Capripoint mbona maskin wapo tena na wavuvi choka mbaya wapo.. au ww unaongelea capripoint ipi?
Shuka mpaka chini nyumba nying tu za wabangaizaji wamejenga
Usihofu mkuu, CCM ipo itakusaidia tu.Kwasisi tuliozaliwa maisha ya kimaskini, safari ni ndefu broo.
Hawajanza kufunmga kuku na ngombe kama masaki wazanaki walioletwa na nyererSiku ya kwanza kufika mbweni hata nilijiuliza hayo maswali, ila baada ya kuzoeana na wenyeji wangu ndio nkaelewa ile ni sehemu vigogo wa nchi,
Picha linaanza nyumba nliyofikia baba ni profesa wa moja ya chuo kikuu hapa dar mama anafanya kazi ofisi ya raisi, jirani kaskizini ni shyrose banji, jirani kusini brigedia mwamunyange
Hiyo naizungumzia mbweni masaiti