kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,339
- 21,435
ndugu zangu wa mjini wacheni kutukejeli sisi wa vijijini sababu mnasema maisha magumu lakini bado mnamiliki simu tatu tatu na zote ni orijino ,mnatia vocha na mnanunua mb kama kawaida na laptop mb za kumwaga,gari zenu za kifahari nne nne bado zipo full tank,luku zina salio la kutosha,sukari mnayolalama imepanda ndani mna viroba,sisi wa vijijini mafuta ya taa kwa vijiko,sukari bei usizungumze,vocha wiki mara moja,unaweka mb ikimalizika hunioni wiki jf usafiri ni boda boda langu petrol naichanganya na mafuta ya taa,sasa naona maisha yenu huko mjini si magumu kama sisi wa vijijini,hampaswi kulalamika!