Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,991
- 30,188
Sasa abiria wengine wakijua kua siku hiyo Wanakula maharagwe itawasaidia nini??Kuna tabia ya watu hasa wakiwa kwenye daladala unakuta mtu anaandika tu ujumbe wa kuinjika maharage kwa dada wa kazi lakini anavyoificha hiyo simu ili usione anachoandika utadhani anatuma ujumbe wa kuihujumu nchi. Kwani sababu hasa ya kuificha simu huwa ni nini?