Rubajirwa
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 472
- 229
Tabia za kuchungulia kwenye madirisha ya watu.Unataka usome ili iwe nini?
Alafu halina hata aibuDuuh shilawadu hadi katka smu za watu kwan kuificha smu yake wewe unakuathiri nini mijitu mimbea utaijua tu mweee
Sent using Jamii Forums mobile app
haaaaaa we jamaa unakonaKuna jamaa alinogewa na kujisahau anamwambia mwenye simu acha hiyo hiyo video naipenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi maana ya privacy au faragha... jifunze kupambana na hali yako. Hata kama ujumbe unahusu kupika kisamvu haukuhusu. Heshimuni faragha za watuKuna tabia ya watu hasa wakiwa kwenye daladala unakuta mtu anaandika tu ujumbe wa kuinjika maharage kwa dada wa kazi lakini anavyoificha hiyo simu ili usione anachoandika utadhani anatuma ujumbe wa kuihujumu nchi. Kwani sababu hasa ya kuificha simu huwa ni nini?
Wakificha wewe unaumia nini???Kuna tabia ya watu hasa wakiwa kwenye daladala unakuta mtu anaandika tu ujumbe wa kuinjika maharage kwa dada wa kazi lakini anavyoificha hiyo simu ili usione anachoandika utadhani anatuma ujumbe wa kuihujumu nchi. Kwani sababu hasa ya kuificha simu huwa ni nini?